Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Mkuu watoto wa kisutu ni hatari. Kuna mmoja nilimpata alikuwa anasoma pale Free state university of technology nilikuwa nikimfuata hapo chuoni kwakwe nakutana na vifaa hivyo utadhani malaika. Watoto wanajua kuvaa, acha kabisa. Wana viuno vyembamba kama nyingu. Huwa dhamira inaniambia kule niliacha damu yangu.
Kumbe ndio maana J Zuma kipindi kile alishindwa kujizuia kwa ile Pisi, ikabidi tu apige halafu akimbilie bafuni fasta 😂
 
Mbona kama south africa imependelewa kwa madem wakali basi. Inawezekana hata wa latin hawaoni ndani e!!!
 
Mwendelezo nimeshaweka wakuu. Mniwie radhi maana majukumu nayo yanakaba kweli. Twendeni taratibu tu tufika hadi mwisho.
Huo mwendelezo mbona umenichanganya?!Umeanzia kweny siku ya mazishi!!Au kuna episod imenipita!
Mana kabla hujasamarize uliishia Khumbu amekuja na gari....nilidhan utaendelezea hapo.
 
Huo mwendelezo mbona umenichanganya?!Umeanzia kweny siku ya mazishi!!Au kuna episod imenipita!
Mana kabla hujasamarize uliishia Khumbu amekuja na gari....nilidhan utaendelezea hapo.
Story ya kabla ya hapo, ipo juu, pitia tu pages za juu utauona! Mi mwenyewe kuna kipengele naona kimeniachaaa , sijajua nakipata wapi!
 
Huo mwendelezo mbona umenichanganya?!Umeanzia kweny siku ya mazishi!!Au kuna episod imenipita!
Mana kabla hujasamarize uliishia Khumbu amekuja na gari....nilidhan utaendelezea hapo.
Kuna mwendelezo hapo katikati umekupita. Jaribu kupekua utauona.
 
Habari wakuu? Hii stori nitaimalizia japo kuna baadhi ya watu ustaarabu kwao ni zero. Kuandika stori ndefu kama hii natumia muda wakuu. Kama nilivyosema tokea awali sikutegemee kama ningetumia muda mrefu kuimaliza, nadhani nilikuwa nimei-underestmate. Anyway mniwie radhi, nitaimalizia. Nina majukumu pia jamani. Ila wabongo mbona mnakuwa hivi? Kuna watu nimesoma comments zao kama una roho nyepesi unaachana na stori yenyewe.

Poleeeee ndo ukubwa... ignore!!!
 
Stori imevutwa vutwa sana, chenga chenga nyingi, sababu kila uchwao, mashart lukuki na sasa hata ile ladha yake hakuna tena, msema ukweli mpenz wa Mungu.
Kwa sasa ungeachia hapa tu iishie hapo ilipoishia lakin haya ya kuomba bundle sijui watu wachangie hela kujishushia credibility,
Usijali mkuu umelipiwa.
 
Back
Top Bottom