Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Siukumbuki niliupa title gani ila jaribu kupekua kwenye nyuzi zangu za mwanzo kabisa. Unahusu dillema niliyoipata baada ya kujikuta nimetumbukia kwenye mapenzi ya wasichana wawili halafu wote wakapata ujauzito. Nikawa kwenye dillema yupi nimuoe yupi nimuache. Ila nilliamua kumuoa yule wa chuo. Utafute utaupata tu.
 
Una title gani, kama unaweza weka link itapendeza. Nimesearch kuna page 25 sijaona.
Huo apo [emoji116]

Stori nitaimaliza mpaka mwisho. Kuweni na subra.
Safi sana, Endelea Thelathini na 5 Yani Mtiririko uwe huo huo, Ujue wengine hatu - Comment sana Ila Tunafatilia balaa na nadhani tupo wengi sana, Kwahiyo broo Malizia Story, Na sio lazima iishe siku moja, Unaweza kuwa unaandika Episodes 2 them unatulia kama siku 2 au 3 Kulingana na Ratiba zako

so malizia mwanangu, Malizia Tupo Pamoja [emoji123]
 
Mbona kuna sehemu hadi ya 60 huko. Kuna mwendelezo baada ya hiyo sehemu ya 34.
 
Nadhani yamebaki matukio manne tu kulingana na ule muainisho niliouweka siku zile za mwanzo mwanzo. 1. Khumbu kula nauli. 2. Kutishiwa kupigwa risasi. 3. Siku ya kuagana naye/siku ya kurudi Bongo. 4. Kifo chake. So, nitajitahidi yote hayo niyamalize Jumatano. Kama kuna tukio nimelisahau kwenye ule muainisho mnikumbushe.
 
Hatutaki bna ww jamaa unatifanya sisi watoto sana ahadi nyingi sana
 
Back
Top Bottom