konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
- Thread starter
- #3,001
Leo nipo free nitatupia episode nyingine moja.So mkuu,tuexpect episode nyingine tena lini bwana konda mchafu sorry konda msafi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nipo free nitatupia episode nyingine moja.So mkuu,tuexpect episode nyingine tena lini bwana konda mchafu sorry konda msafi
Hamna man, akina khumbu walimchanganya konda msafi tu, mm mndawa hawatawezaPoa mkuu sema angalia iyo hela usije kuwaachia kina khumbu maana wapo wengi sana alafu wanapenda sana hela
Aina noma man karibu sana Cape TownHamna man, akina khumbu walimchanganya konda msafi tu, mm mndawa hawataweza
Hahahaha! Mkuu niliona umekula ban. Vipi uliharibu nini?Amina mkuu!
View attachment 1716389
Hapana mkuu. Kwenye huo uzi hao watoto ni tofauti na Amina na huyu wa Sinza.Huyo Dada wa Sinza na Amina nao Wana story yao katika uzi mwingine kabla ya huu Kaka. So ukiwasoma ndo utaelewa kwenye huo uzi mwingine
Ni spana!Napiga sana spana wale vibaka wa wizi wa kura.Hahahaha! Mkuu niliona umekula ban. Vipi uliharibu nini?
gud mkuu...ila tuwekee na picha ya khumbu...Hiyo ni page ya kwanza na ya pili ya academic records. Mnaweza mkaona performance ilivyobadirika ya mwaka wa kwanza ukilinganisha na miaka iliyofuatia kabla Khumbu hajanichanganya na miaka iliyofuatia baada ya Khumbu kunichanganya. Masomo ya mwaka wa kwanza yamaendikwa I, wa pili II na wa tatu III. Na hicho kingine ni ile siku niliyoaindika kwenye diary kuwa narudi Bongo.
Hapana ulikuwa tu ule mzuka wa kwamba narudi Bongo naenda kukutana na warembo wa nyumbani. Pia nilikuwa sijarudi muda mrefu sana hivyo zile feelings za kumiss home mixer na mateso ya Khumbu basi ikawa ni sababu tosha kabisa ya kuondoka huko.Let's goooo sasa tupo ktk huzuni mode ,itakua hawa vijana wa Tz amina na mwenzie walikua wanakuchomea dawa hahaha
Ke sharp man.hujwang ngwaneso? Huswaakae!! Wenna!! Oyiooo! Uko njema
Asante sanaAina noma man karibu sana Cape Town
binafsi napenda mtu anaeandika mambo yake katika diary. ni usmart fulan upstairs.Hiyo ni page ya kwanza na ya pili ya academic records. Mnaweza mkaona performance ilivyobadirika ya mwaka wa kwanza ukilinganisha na miaka iliyofuatia kabla Khumbu hajanichanganya na miaka iliyofuatia baada ya Khumbu kunichanganya. Masomo ya mwaka wa kwanza yamaendikwa I, wa pili II na wa tatu III. Na hicho kingine ni ile siku niliyoaindika kwenye diary kuwa narudi Bongo.
Endelea kunywa mtori nyama utazikuta chini mkuu.binafsi napenda mtu anaeandika mambo yake katika diary. ni usmart fulan upstairs.
hivi konda since then hujawahi rudi tena south Africa?
au nitulize niendelee kula mtori nyama ziko chini.
nadhani pia kitisho cha kuuawa south kilikua ya sababu pia ya kukushawishi kurud bongo.
We umeshaaga mara kibao humu, hamba!!Mnaoendelea kuisoma story, nawatakia usomaji mwema.kwa upande wangu nimeshasoma vya kutosha na I bow out.