Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Unjan kaka.....umenikumbusha maisha ya Durban nimekumbuka mbali sana. Workshop ni maarufu sana yaani kama Kariakoo kwa maana magari karibia yote yanaanzia hapo kwenda Umpagen, Westville, Kwamachu, Umlaz, Wastgate, Umhalanga, Pavillion nk.....

Hapo Workshop kuna mtaa maarufu kama Kariakoo unaitwa Weststreet. Mie Durban nilikuwa nawaogopa sana wanawake wake maana hawajuwi kusema hapana......

Duniani sijawahi kuona nchi ina wanawake wanene wenye makali.... Kama SA hasa Durban kwa wazulu. Tatizo lako hawawezi kuwa na mpenzi mmoja, licha ya baadhi yao ni watulivu mno.
nimekaa kwamashu!!
 
Sasa mimi nimekaa ile hotel iliyomkabala na Ofisi za Mayor wa Durban inaitwa Royol Hotel- the home of hospitallity, nilikuwa natwkeleza majukumu yangu pale BAT Centre-Eneo la Bandarini Durban! story imenikumbusha maeneo mengi, kiufupi nami nilisoma University of Kwazul Natal kozi ya habari, nikaishi kule Kwamashu Community Centre baada ya ufadhiri wa kukaa Royol kukata!
 
Back
Top Bottom