Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Haya ila jitahidi upate angalau above 55%Asante mkuu mambo ni motrooooooo ✌️✌️✌️!! Naona na kuisha ishaisha ntakaporuka ruka mtanipa samareewww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ila jitahidi upate angalau above 55%Asante mkuu mambo ni motrooooooo ✌️✌️✌️!! Naona na kuisha ishaisha ntakaporuka ruka mtanipa samareewww
Sauwaaaaaa nakomaa nayoo hapa!Haya ila jitahidi upate angalau above 55%
Asante sana shemeji
Kaoneee ,ntakukoa nkoziAsante sana shemeji
Nmevaa helmetKaoneee ,ntakukoa nkozi
Ila we Cha ukorofii, haya tulia ntakununulia big bomNmevaa helmet
ThawaIla we Cha ukorofii, haya tulia ntakununulia big bom
nimekaa kwamashu!!Unjan kaka.....umenikumbusha maisha ya Durban nimekumbuka mbali sana. Workshop ni maarufu sana yaani kama Kariakoo kwa maana magari karibia yote yanaanzia hapo kwenda Umpagen, Westville, Kwamachu, Umlaz, Wastgate, Umhalanga, Pavillion nk.....
Hapo Workshop kuna mtaa maarufu kama Kariakoo unaitwa Weststreet. Mie Durban nilikuwa nawaogopa sana wanawake wake maana hawajuwi kusema hapana......
Duniani sijawahi kuona nchi ina wanawake wanene wenye makali.... Kama SA hasa Durban kwa wazulu. Tatizo lako hawawezi kuwa na mpenzi mmoja, licha ya baadhi yao ni watulivu mno.
Siyo kama wale visirani wengine wanaanzisha story mwisho wa siku wanaanza kuvimba na kutaka kuabudiwa.konda msafi Aliutendea haki huu uzi
BalaaTakro la kuning'inia