Jinsi mbunge Ramadhan Kihiyo alivyojiuzulu baada ya kashfa ya kufoji vyeti

Jinsi mbunge Ramadhan Kihiyo alivyojiuzulu baada ya kashfa ya kufoji vyeti

Hivi jf na mtaani huko hakuna wachawi wafanye mambo watuondolee huyu Bashite
 
Watu wengi wanatumia neno kihiyo lakini hawajui lilitokana na nini, hili neno lilitokana na aliyekuwa mbunge wa Temeke kuvuliwa ubunge na mahakama kwa kuwa aliwasilisha vyeti vya taaluma yake ambavyo havikuwa na sahihi, mahakama ilimvua ubunge kwa kuwa alidanganya credentials zake wakati anagombea.
Je kama kiongozi wa kisiasa (mgunge) taaluma ilikuwa siyo kigezo kwa nini mahakama ilimvua ubunge wake? Je kutokana na yaliyosemwa jana na Mheshimiwa Kairuki tuseme bwana Kihiyo alionewa?

Tujadili
 
Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 1995, jimbo la Temeke lilikaliwa na mtu alieitwa Kihiyo lakini kwa kuwa mtu huyo alifoji vyeti vyake. Mh. Augustine Lyatonga Mrema alifungua kesi ya kupinga matokeo yake.

Baada ya mahakama kujiridhisha kuwa hoja anayotuhumiwa nayo ni kweli ilitengua ubunge wake na kutangaza uchaguzi upya ambao ulimpa ushindi mh. Mrema.

Sheria ya kuwaondoa wabunge na wakubwa wengine kwenye Utumishi wa umma wakati ule haikuwepo? Ninamini wengi wenu mtaanza kuhisi kuwa nayaka kumuunganisha na kumfananisha Kihiyo na Bashite

Nachotaka kujua ni hayo mabadiliko ya sheria yalifanyika lini na yalikuwa na lengo gani?
 
Hivi ninyi watu MNA matatizo gani, mbona vichwa vigumu kuelewa,

Enzi hizi si zakupangiana, alishasema dereva, mwendo wwte ataoamua kuendesha gari lake asipangiwe na MTU,

Wewe ninani mpaka usitii kauli ya dereva?
 
Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 1995. jimbo LA Temeke lilikaliwa na MTU alieitwa kihiyo. lakini kwa kuwa MTU huyo alifoji vyeti vvyake. mh. Augustine Lyatonga Mrema alifungua kesi ya kupinga matokeo yake. Baada ya mahakama kujiridhisha kuwa hoja anayotuhumiwa nayo ni kweli ilitengua ubunge wake na kutangaza uchaguzi upya ambao ulimpa ushindi mh. Mrema. Sheria ya kuwaondoa wabunge na wakubwa wengine kwenye Utumishi wa umma wakati ule haikuwepo? Ninamini wengi wenu mtaanza kuhisi kuwa nayaka kumuunganisha na kumfananisha Kihiyo na Bashite


Nachotaka kujua ni hayo mabadiliko ya sheria yalifanyika lini na yalikuwa na lengo gani?
Uchaguzi mkuu 1995 mrema aligombea urais. Ilikuwaje tena akafungua kesi kupinga ubunge wa temeke?!
 
Aliyepinga mahakamani alikuwa Tambwe Hiza Lakini baada ya kesi kumwangusha Kihiyo NCCR walimpa nafasi Mrema kugombea uchaguzi mdogo , jambo lililopelekea Tambwe kukihama nccr


Kuna mtu mwingine ametajwa sana kuhusiana na hili sakata ...marehemu Sisco, je ali play role gani kwenye hili jambo
 
Kuna mtu mwingine ametajwa sana kuhusiana na hili sakata ...marehemu Sisco, je ali play role gani kwenye hili jambo
Huyu alikuwa mgombea wa CCM katika uchaguzi wa marudio.Akivaa heren huyu ametutoka juzi hapa.
 
Back
Top Bottom