Jinsi mbunge Ramadhan Kihiyo alivyojiuzulu baada ya kashfa ya kufoji vyeti

Jinsi mbunge Ramadhan Kihiyo alivyojiuzulu baada ya kashfa ya kufoji vyeti

Kihiyo alijipa sifa ya elimu ambayo hana. Tunaweza kusema aliudanganya umma kuhusu kiwango chake cha elimu. Lkn alipoteza ubunge wake.

Magufuli anasema wanasiasa ruksa kutumia vyeti vya marehemu ama vyeti vya mtu mwingine kama afanyavyo Bashite. Kosa la jinai ni ruksa kwa wanasiasa.

Kiukweli tunaomba mahakama iliangalie upya jambo hili kwa jicho la haki ili kama vipi Kihiyo apewe haki yake
Hajasema mahali popote ni ruksa
 
uwezo wako wa kufikiri ndiyo umefika mwisho? Kwani aliyeanzisha oparation vyeti feki ni mange kimambi au Magufuli? nani aende mahakamani? kufanya nini? Watu wanamshitaki hapa hapa ili magufuli atambue kuwa Mteule wake ni bomu vyeti feki vya kisukuma toka kolomije vimeleta kinyaa ikulu kwake, hakuna wa kupoteza mda kwenda mahakamani kwenu ambapo GSM watatoa Rushwa na haki kukosekana, watu watapaza sauti humu JF na kwingineko mpaka magufuli achoke kuziba masikio aone Aibu alimfukuze huyo kihiyo Bashite wake.
Kumshitaki bila ushahidi ni ujinga
 
Lete vyeti vyake kama unavyo huko CCM mbona wenye vyeti feki wapo kibao akina kigwangala, mwigulu, hata January alipata zero form six lakini ni waziri kuna viongozi wengi huko CCM wana mapungufu lukuki, lakini kwa sasa watu wanataka mtu mmoja ashughurikiwe kwanza ndiyo iwe mfano, haiwezekani magufuli aamue kuwadharau wananchi kwa kumkumbatia Daud Albert bashite kiasi hicho kuna nini baina yao?
Kwanini usiende mahakamani
 
Wadau tangu tarifa itoke kuwa viongozi wa nafasi ya kisiasa sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika, kwanini sasa mahakama ilimvua ubunge bwana kihio aliyeshinda nafasi ya ubunge Temeke mwaka 1995 ikiwa sifa ni kujua kusoma na kuandika?

kwanini walimvua nafasi yake kwa kosa la kudanganya elimu yake kwanini wasingempa adhabu nyingine ikiwa sawa na kufoji vyeti baadala ya kumvua ubunge bado nawaza tu

sasa we mjinga umepeleka kesi mahakamani? mbona mnakuwa wasengerema?
 
CCM bila Aibu wanatetea vyeti Feki vya Daud Bashite ni bora watangaze kuanzia sasa kuwa ni ruksa kwa wakuu wa mikoa na wilaya kumiliki vyeti bandia watanzania wajue moja wapate kutoa maamuzi ya jumla.
Hakuna aliyetetea kama una ushahidi peleka mamlaka husika
 
Kihiyo alijipa sifa ya elimu ambayo hana. Tunaweza kusema aliudanganya umma kuhusu kiwango chake cha elimu. Lkn alipoteza ubunge wake.

Magufuli anasema wanasiasa ruksa kutumia vyeti vya marehemu ama vyeti vya mtu mwingine kama afanyavyo Bashite. Kosa la jinai ni ruksa kwa wanasiasa.

Kiukweli tunaomba mahakama iliangalie upya jambo hili kwa jicho la haki ili kama vipi Kihiyo apewe haki yake

mtanzania halisi, halafi mama wa familia

ulichofanya ni kujaza post zisizo na matokeo!
kwa nn usifungue kesi??
 
Waziri Kairuki ameonyesha udhaifu mkubwa sana, maelezo yake ni kichekesho na yanaonyesha jinsi serikali ilivyojaa usanii na double standard. Kwa lugha nyepesi anamaanisha ni halali kwa kiongozi wa juu wa serikali kufanya udanganyifu wa vyeti lakini ni kosa la jinai kwa mwananchi wa kawaida kutenda kosa hilo...huu ni usanii uliopitiliza
 
uwezo wako wa kufikiri ndiyo umefika mwisho? Kwani aliyeanzisha oparation vyeti feki ni mange kimambi au Magufuli? nani aende mahakamani? kufanya nini? Watu wanamshitaki hapa hapa ili magufuli atambue kuwa Mteule wake ni bomu vyeti feki vya kisukuma toka kolomije vimeleta kinyaa ikulu kwake, hakuna wa kupoteza mda kwenda mahakamani kwenu ambapo GSM watatoa Rushwa na haki kukosekana, watu watapaza sauti humu JF na kwingineko mpaka magufuli achoke kuziba masikio aone Aibu alimfukuze huyo kihiyo Bashite wake.
Sauti za taarabu ni burudani!
 
Kihiyo alijiuzulu kuogopa kukutwa na hatia ya kudanganya wapiga kura kuhusu elimu yake
Bashite ashitakiwe kwa kujipatia nafasi ya elimu ya juu kwa kutumia vyeti vya kughushi
Kusema Magu atamtimua kwa kosa hilo ni ndoto kwani mahaba yake kwa Daudi hayatamruhusu
Safi sana wanaomtuhumu wampeleke mahakamani nashangaa wanalalamika tu kila siku mwezi wa TATU huu
 
Sasa kama bashite ana vyeti feki kwa nini anachwa aendelee na maradaraka ya ukuu wa mkoa
Una ushahidi? kihiyo alifikishwa mahakamani akapigwa na lamwai wakili wa mrema mpk akaandika barua ya kujiuzulu kwanini na nyie msimburuze mahakamani?
 
Kwanini asipelekwe mahakamani tume haina adhabu ya kifungo jela
Tume ikithibitisha kuwa jamaa ni Bashite, huoni huo utakuwa ni mwanzo mzuri wa kwenda mahakamni?
Najua alikuwa na sababu za msingi kupelekahuko alikopeleka.
 
Back
Top Bottom