Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyeti halali no vipi?Bashite ana vyeti halali kabisa ila sio vyake, hapo ndipo tatizo linapoanzia
Wazungu mbona wameisha mshitukia siku nyingi hata alipokuja mkuu wa World Bank walihakikisha haudhurii uzinduzi aliokuwa anaufanya boss wao pale Zanaki. Walimkaribisha DC wa Ilala siyo Makonda.Kugushi vyeti ni kosa la jinai ndiyo maana alienda kuomba Viza Ubalozi wa Uingereza wakamkatalia wakitoa sababu kuwa wamepata taarifa jina la kwenye passport yake ni feki.
Meya wa Dar alishampeleka sehemu fulani amazing huyo Bashite wenu. Time will tell.vilaza nyie na Team Mange...KIHIYO ALIVULIWA UBUNGE NA MAHAKAMA BAADA YA KESI ILIWASILISHWA NA MREMA CHINI YA UWAKILI WA LAMWAI...KAMA MNA USHAHIDI WA MTU MWENYE VEYTI FEKI NENDENI MAHAKAMANI NA MKISHINDA MHUSIKA ATAVULIWA NYADHIFA ZAKE .
BLAH BLAHH ZA INSTA HAZISADII...ANZENI NA KESI YA VYETI VYA MBOWE MBURULAZ NYIE
Sijakusoma hapoVyeti halali no vipi?
Kuna mambo mengine braza usiumize sana kichwa miaka 3 sio mingi ataondoka atakuja mwingine itabakia historia tu..Wadau tangu tarifa itoke kuwa viongozi wa nafasi ya kisiasa sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika, kwanini sasa mahakama ilimvua ubunge bwana kihio aliyeshinda nafasi ya ubunge Temeke mwaka 1995 ikiwa sifa ni kujua kusoma na kuandika?
kwanini walimvua nafasi yake kwa kosa la kudanganya elimu yake kwanini wasingempa adhabu nyingine ikiwa sawa na kufoji vyeti baadala ya kumvua ubunge bado nawaza tu
Kihiyo hakuwa mmakonde/mmakua kama aliyekuwa anatawala enzi hiyo. Hii ya Bashite ni kesi ya Damu nzito kuliko Maji.vilaza nyie na Team Mange...KIHIYO ALIVULIWA UBUNGE NA MAHAKAMA BAADA YA KESI ILIWASILISHWA NA MREMA CHINI YA UWAKILI WA LAMWAI...KAMA MNA USHAHIDI WA MTU MWENYE VEYTI FEKI NENDENI MAHAKAMANI NA MKISHINDA MHUSIKA ATAVULIWA NYADHIFA ZAKE .
BLAH BLAHH ZA INSTA HAZISADII...ANZENI NA KESI YA VYETI VYA MBOWE MBURULAZ NYIE
Daud Albert bashite mda mwingi anashinda kwa sangomaHahahaha
Itatoka amri hawataendelea Na hiyo kesi itafutwa kama wale wa Jamhuri walipoenda shule wakaambiwa waende na barua toka Wizarani, RaS na Necta wakaambiwa taarifa za exams result ni za mtahiniwa na Necta! Siyo rahisi hiyo kesi ya Meya itakuwa dismissed! Kote kulishatiwa STOP/UNTOUCHABLE!Meya wa Dar alishampeleka sehemu fulani amazing huyo Bashite wenu. Time will tell.
Mwaka huu utabadilisha avatar utatuwekea mpaka ya mkweo..ushahidi gani sasa mbona alivamia cloudsvilaza nyie na Team Mange...KIHIYO ALIVULIWA UBUNGE NA MAHAKAMA BAADA YA KESI ILIWASILISHWA NA MREMA CHINI YA UWAKILI WA LAMWAI...KAMA MNA USHAHIDI WA MTU MWENYE VEYTI FEKI NENDENI MAHAKAMANI NA MKISHINDA MHUSIKA ATAVULIWA NYADHIFA ZAKE .
BLAH BLAHH ZA INSTA HAZISADII...ANZENI NA KESI YA VYETI VYA MBOWE MBURULAZ NYIE
Kazi tunayo. Anyways, no situation is permanent.Itatoka amri hawataendelea Na hiyo kesi itafutwa kama wale wa Jamhuri walipoenda shule wakaambiwa waende na barua toka Wizarani, RaS na Necta wakaambiwa taarifa za exams result ni za mtahiniwa na Necta! Siyo rahisi hiyo kesi ya Meya itakuwa dismissed! Kote kulishatiwa STOP/UNTOUCHABLE!