Bashite ndio nani?Kwani Bashite ana vyeti halali??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashite ndio nani?Kwani Bashite ana vyeti halali??
AlithibitikaHapo sasa ndio tuhoji au kihio alihukumiwa kwa sheria za malawi si tanzania
Waache walindwe mradi haituathiri chochoteHizi danganya toto ili kuwalinda wakuu Wa mikoa, wilaya na mawaziri!
Fek ni feki tu!
Hajasema mahali popote ni ruksaKihiyo alijipa sifa ya elimu ambayo hana. Tunaweza kusema aliudanganya umma kuhusu kiwango chake cha elimu. Lkn alipoteza ubunge wake.
Magufuli anasema wanasiasa ruksa kutumia vyeti vya marehemu ama vyeti vya mtu mwingine kama afanyavyo Bashite. Kosa la jinai ni ruksa kwa wanasiasa.
Kiukweli tunaomba mahakama iliangalie upya jambo hili kwa jicho la haki ili kama vipi Kihiyo apewe haki yake
Tatizo hauna ushahidiBashite ana vyeti halali kabisa ila sio vyake, hapo ndipo tatizo linapoanzia
Kumshitaki bila ushahidi ni ujingauwezo wako wa kufikiri ndiyo umefika mwisho? Kwani aliyeanzisha oparation vyeti feki ni mange kimambi au Magufuli? nani aende mahakamani? kufanya nini? Watu wanamshitaki hapa hapa ili magufuli atambue kuwa Mteule wake ni bomu vyeti feki vya kisukuma toka kolomije vimeleta kinyaa ikulu kwake, hakuna wa kupoteza mda kwenda mahakamani kwenu ambapo GSM watatoa Rushwa na haki kukosekana, watu watapaza sauti humu JF na kwingineko mpaka magufuli achoke kuziba masikio aone Aibu alimfukuze huyo kihiyo Bashite wake.
Kwanini usiende mahakamaniLete vyeti vyake kama unavyo huko CCM mbona wenye vyeti feki wapo kibao akina kigwangala, mwigulu, hata January alipata zero form six lakini ni waziri kuna viongozi wengi huko CCM wana mapungufu lukuki, lakini kwa sasa watu wanataka mtu mmoja ashughurikiwe kwanza ndiyo iwe mfano, haiwezekani magufuli aamue kuwadharau wananchi kwa kumkumbatia Daud Albert bashite kiasi hicho kuna nini baina yao?
Hana cheti fake kwanini akimbie?Sasa mbona Daud Albert bashite hajaiga hiyo mbinu?tungependa aige hiyo style asepe mwenyewe angalau wananchi watamwelewa.
Wadau tangu tarifa itoke kuwa viongozi wa nafasi ya kisiasa sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika, kwanini sasa mahakama ilimvua ubunge bwana kihio aliyeshinda nafasi ya ubunge Temeke mwaka 1995 ikiwa sifa ni kujua kusoma na kuandika?
kwanini walimvua nafasi yake kwa kosa la kudanganya elimu yake kwanini wasingempa adhabu nyingine ikiwa sawa na kufoji vyeti baadala ya kumvua ubunge bado nawaza tu
Hakuna aliyetetea kama una ushahidi peleka mamlaka husikaCCM bila Aibu wanatetea vyeti Feki vya Daud Bashite ni bora watangaze kuanzia sasa kuwa ni ruksa kwa wakuu wa mikoa na wilaya kumiliki vyeti bandia watanzania wajue moja wapate kutoa maamuzi ya jumla.
Kihiyo alijipa sifa ya elimu ambayo hana. Tunaweza kusema aliudanganya umma kuhusu kiwango chake cha elimu. Lkn alipoteza ubunge wake.
Magufuli anasema wanasiasa ruksa kutumia vyeti vya marehemu ama vyeti vya mtu mwingine kama afanyavyo Bashite. Kosa la jinai ni ruksa kwa wanasiasa.
Kiukweli tunaomba mahakama iliangalie upya jambo hili kwa jicho la haki ili kama vipi Kihiyo apewe haki yake
Kwanini asipelekwe mahakamani tume haina adhabu ya kifungo jelaMeya wa Dar alishampeleka sehemu fulani amazing huyo Bashite wenu. Time will tell.
Sauti za taarabu ni burudani!uwezo wako wa kufikiri ndiyo umefika mwisho? Kwani aliyeanzisha oparation vyeti feki ni mange kimambi au Magufuli? nani aende mahakamani? kufanya nini? Watu wanamshitaki hapa hapa ili magufuli atambue kuwa Mteule wake ni bomu vyeti feki vya kisukuma toka kolomije vimeleta kinyaa ikulu kwake, hakuna wa kupoteza mda kwenda mahakamani kwenu ambapo GSM watatoa Rushwa na haki kukosekana, watu watapaza sauti humu JF na kwingineko mpaka magufuli achoke kuziba masikio aone Aibu alimfukuze huyo kihiyo Bashite wake.
Safi sana wanaomtuhumu wampeleke mahakamani nashangaa wanalalamika tu kila siku mwezi wa TATU huuKihiyo alijiuzulu kuogopa kukutwa na hatia ya kudanganya wapiga kura kuhusu elimu yake
Bashite ashitakiwe kwa kujipatia nafasi ya elimu ya juu kwa kutumia vyeti vya kughushi
Kusema Magu atamtimua kwa kosa hilo ni ndoto kwani mahaba yake kwa Daudi hayatamruhusu
Una ushahidi? kihiyo alifikishwa mahakamani akapigwa na lamwai wakili wa mrema mpk akaandika barua ya kujiuzulu kwanini na nyie msimburuze mahakamani?Sasa kama bashite ana vyeti feki kwa nini anachwa aendelee na maradaraka ya ukuu wa mkoa
Uvamizi vs Upekuzi....wauza ngada mna mbwembwe!Mwaka huu utabadilisha avatar utatuwekea mpaka ya mkweo..ushahidi gani sasa mbona alivamia clouds
na nyie mtulize mishono!We tulia utakuja ona usiwe na haraka
Kuna kesi tayari ipo mahakamani,itajulikana tu
Mbona BASHITE ana vyeti feki lakini haguswi?Kihiyo alikuwa Na vyeti feki Na ndivyo vilivyomtoa ubunge
Tume ikithibitisha kuwa jamaa ni Bashite, huoni huo utakuwa ni mwanzo mzuri wa kwenda mahakamni?Kwanini asipelekwe mahakamani tume haina adhabu ya kifungo jela