Jinsi mitumba inavyotuunganisha na watu tusiowapenda!

Usijidanganye kwa marekani soko la mitumba la Africa mashariki linawaingizia dola zaidi ya million 250 kwa mwaka ndo maana waking'aka sana pale Africa mashariki ilipopanga kujizuia mitumba
Mitumba manufaa ni mvaaji sio muuzaji. Jinzi elfu mbili
 
Mambo mengine kujichosha tu kuyawaza,
 
Ila ushoga haujawahi kukubalika tokea enzi hizo hadi leo na ndio maana inatumika jitihada kutaka kufanya ushoga uonekane ni kitu cha kawaida tu kama vyengine.
 
Bora usemee wee, maana nikisema mie, naambiwa nachochea na kusambaza ushoga.
Utadhani ndo nakuwadisha watu waka inamishane, lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila ushoga haujawahi kukubalika tokea enzi hizo hadi leo na ndio maana inatumika jitihada kutaka kufanya ushoga uonekane ni kitu cha kawaida tu kama vyengine.
Umekubalika kwa Uwazi na kwa kificho.
e.g. Kwa uwazi wapo wanaofungishwa hata ndoa na yapo makampuni rasmi yanayoendesha biashara hiyo na hulipa kodi kwa Serikali.
Kwa kuwa Hoja hii sio lengo la Uzi huu, wewe anzisha uzi halafu utapewa muongozo ili utoke nje ya box.
 
Sasa hiyo raba umeicheki cheki ukagundua ni nani aliyeivaa kabla yako?
 
Unaweza jikuta unajifanya muadilifu, nyimbo za dini kuhanikiza kwenye gari, kumbe kulikuwa na kuchu la kijapani kakunjwa kama afande rama kwenye ki IST chako😂😂😂😂.

Niliwahi kuta kimkebe cha vicks ya mkongo kwenye gari niliyonunua used ya kibongo. Nilipomuuliza jamaa ambae aliniuzia, alikuwa ustaadh alijifanya hajui ya nani japo nina hakika alikuwa analaani kimoyo moyo kupoteza kitendea kazi chake.
 
Bora usemee wee, maana nikisema mie, naambiwa nachochea na kusambaza ushoga.
Utadhani ndo nakuwadisha watu waka inamishane, lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wale ni wachokozi. Wewe waache wakae kama walivyo jikite kwenye mada ya uzi huu. Mleta mada anazungumzia mitumba ,wao wanachomekea kitu/hoja tofauti. Hawamtendei haki mleta mada.
 
inafikirisha sana. asante
 
vipi hutaki watu wazungumzie ushoga..?
nini mtazamo wako kuhusu ushoga..?
Upo JF since 2015 ila nimeshangaa umemuuliza cocastic hili swali, maana msimamo wake kuhusu hilo jukwaani humu mbona uko wazi kabisa anajulikana? Au itakua hujafuatilia sana mada zake na post zake kwenye hizi mambo.
 
Sioni sababu ya kuanzisha mada mpya hii ishaisha,maana nishasema kuwa tokea hizo hakujawahi ushoga ukawa kitu cha kawaida katika jamii umekuwa ukionekana ni kitu kibaya na umekuwa ukipingwa. Huko kufungisha ndoa mashoga ndio baadhi ya jitihada nazosema za kutaka ushoga uonekane ni kitu cha kawaida, kuna wanasiasa wengine huogopa hata kupinga waziwazi ushoga ni bora apinge zinaa ya mwanamke na mwanaume yote ni kuogopa kuwaudhi mabwana wakubwa wenye kupambana kutetea haki za mashoga.
 
Upo JF since 2015 ila nimeshangaa umemuuliza cocastic hili swali, maana msimamo wake kuhusu hilo jukwaani humu mbona uko wazi kabisa anajulikana? Au itakua hujafuatilia sana mada zake na post zake kwenye hizi mambo.
sijafatilia ndio wengine tupotupo tu humu!
 
Ndiyo. Ulitumiwa na binadamu kama mimi. Ila Hoja ya kwamba eti alikuwa-kuwaje tabia yake havinihusu.
Sasa huo ni mtizamo wako. Hebu fikiria Kuna watu wanawachukia Sana watu wengine hadi kujiapiza kuwaua. Sasa jee mtu kama anachukia majambazi hajisikii hatia kutumia kitu cha aliyekuwa jambazi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…