Jinsi mitumba inavyotuunganisha na watu tusiowapenda!

Jinsi mitumba inavyotuunganisha na watu tusiowapenda!

Nilidhani unazunugumzia Psychometry/Psychic touch ability to sense things, information and such, just by touching things.
 
Ushoga again!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya sasa anza kuvaa mamitumba kwa kasi mpaka umatchishe kama yule shogaaa ako wa uturukiiiiiiiiiii 😆😅😅😅
 
Nikipata nafasi ya kuwaamulia, mitumba ya mavazi ya ndani lazima ipotee sokoni haraka kadiri itakavyowezekana.........Ni dharau iliyoje?
Mkuu unacheo kikubwa serikalini sio 💪💪💪
 
Mitumba upande wa nguo zinazoletwa Africa kwanza mitumba imechoka , imechakaa michafu

Ndo tunaleta ili tuvae ni umasikini tu.

Kukuta nguo ya mtumba ya maana ni Nada Sana.

Tukubali kuwa sisi ni dark country
Mkuu huna taarifa sahihi. Mitumba ina grades 1,2,3 etc. Grade 1 huwa ni kama mpya au mpya. Mtu anaweza kupewa zawadi ya nguo asiipende basi anaipeleka charity huko inakusanywa na mitumba au fashion imepita wenye maduka wana donate, uchakavu au ubora wa nguo ni nyinyi kama nchi mnaamua. Mfano Kenya wanaruhusu mitumba grade 1 tu na Tz wanaruhusu takataka zote kiasi kwamba mtu akitaka kuuza mitumba quality inabidi aifuate Nairobi hapo bei unafikiri itakuwa?
 
😂😂😂😂😂😂


Kwahiyo tukiwapenda, mitumba itavalika?
 
Watu weusi ndio wanakusanya hiyo mitumba na kuileta?

Hiyo taarifa umeitoa wapi?

Tutajie hayo mashirika yanayoleta hiyo mitumba Bure hapa Tanzania.
Wahindi ndiyo wanaoongoza kwa kazi hizo duniani...
 
😂😂😂😂😂😂


Kwahiyo tukiwapenda, mitumba itavalika?
Baniani mbaya... Mjadala ni kumbe unaweza kuchukia tabia ya mtu ila vitu vyake ukavipenda na kuvitumia!!
 
Umewaza mbali sana. Kiukweli ndo maana kuna nchi hii mitumba inapigwa marufuku kabisa
 
Asubuhi ya leo wakati navua raba nilipotoka mazoezini, ghafla lilinijia wazo la ni nani alikuwa anaivaa raba hiyo kabla haijaletwa Tanzania kama mtumba?

Nikaanza kuangalia jinsi mitumba ilivyotawala maisha ya Watanzania kwa kiasi kikubwa Sana. Lakini huwa tunajiuliza hiyo mitumba ilikotoka ilikuwa inatumiwa na nani?

Kwa mfano magari ingawa hatupendi sana kuyaita mitumba, badala yake tunayaita "Used" lakini ukweli wa mambo na yenyewe pia ni mitumba.

Unaweza kuwa unachukia watu wenye tabia ya ushoga, lakini una hakika mitumba unayotumia hakuna ambao ulikuwa unatumiwa na shoga kabla ya wewe kuununua?

Ipo mitumba toka kwa wezi, majambazi, makahaba, watu wa dini tofauti na sisi, wabaguzi, wauwaji, wafungwa, wabakaji, matapeli na lundo jingine kubwa sana la watu tusiowapenda.

Unapotumia mtumba jua kuwa inawezekana kabisa kabla ya kuletwa Tanzania huko ulikotoka ulikuwa unatumiwa na mtu/watu usiowapenda kabisa.
da!! mwanangu wewe ni jiniazi,,,umenifanya niichukie mitumba lakini sina jinsi kipato changu kidogo,,kumbe ndo manake MAGUFULI alitaka kupiga marufuku mitumba!!!!
 
Kwa Raba kali na Jeans za mtumba ''grade one'' huniambii kitu
 
Mitumba upande wa nguo zinazoletwa Africa kwanza mitumba imechoka , imechakaa michafu

Ndo tunaleta ili tuvae ni umasikini tu.

Kukuta nguo ya mtumba ya maana ni Nada Sana.

Tukubali kuwa sisi ni dark country
Dark Country maana yake ni nini?

Mbona Unalazimisha? Kama umechoshwa si unahama tu? Aisee.
 
Baniani mbaya... Mjadala ni kumbe unaweza kuchukia tabia ya mtu ila vitu vyake ukavipenda na kuvitumia!!
Nimekuelewa vyema. Ukimuondoa huyo baniani.

Bwana Allen una shauri lipi lifanyike?

Tupige marufuku?

Tuwapende na tuvivae, ama.
 
Kuna Hadi za 50k
Shuka au jinzi? Hizo zihaibgia mkono wa pili Yan kwa winga au pointa. Kuna mama hapo sinza anauza gauni za mitumba Hadi laki mbili anazipiga pasi na kuziwekea kinembo Cha Gucci

Mitumba nishauza mkuu naifaham hii field vizur
 
Nimekuelewa vyema. Ukimuondoa huyo baniani.

Bwana Allen una shauri lipi lifanyike?

Tupige marufuku?

Tuwapende na tuvivae, ama.
Marufuku haiwezekani na kuwapenda pia haiwezekani.

Tunachotakiwa ni kutanabahi kuwa mitumba yetu inawezekana inatuunganisha na watu tusiowapenda.
 
Back
Top Bottom