Sauti ya Mamlaka
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,779
- 2,610
- Thread starter
- #81
geto langu ni standard lipo na kila kitu ambacho binadamu anahitajiAmekuta unakaa sehemu mbaya, geto chafu
geto langu ni standard lipo na kila kitu ambacho binadamu anahitajiAmekuta unakaa sehemu mbaya, geto chafu
Labda alikuona bwege kupigana pigana hovyo ugomvi haukuhusu.baada ya kuachiwa manzi kanipa pole nyingi then tukaagana
sijui kama anaijua jf ntajaribu kukagua simu yakeUzuri yeye ni mwanaJF anausoma uzi wako. Atakujibu
hapana nilioga baada ya kutoka na nguo nikazifua sikuingia nazo ndani kama kanuni na masharti yasemavyo afu sijakaa ndani muda mrefu kama nusu saa hiviLabda bado ulikuwa na harufu ya sero (cell)
we angekua dada yako,mama yako au demu wako ungemuacha apigwe use common senseLabda alikuona bwege kupigana pigana hovyo ugomvi haukuhusu.
Dada yangu, mama yangu au mke wangu wanajua mamlaka zinapopatikana. Wasingefika hapo kwenye kuanzisha vita ili nipigane.we angekua dada yako,mama yako au demu wako ungemuacha apigwe use common sense
mamlaka yapo ila yanafanyika kwa utaratibuSauti ya Mamlaka alafu hauna mamlaka kwa huyo bhoke mama Robi sa si ujiite Sauti ya Kilokolee
DJIOONIII YA LEOO
hakwenda kwa nia ya kuanzisha vita bali kuhoji kuhusu utapeli aliofanyiwaDada yangu, mama yangu na mke wangu wanajua mamlaka zinapopatikana. Wasingefika hapo kwenye kuanzisha vita ili nipigane.
Halafu akaanzisha vita ambavyo ulivipigana wewe na akakuacha hapo ili usokotwe ilihali polisi anapajua. Ungetolewa meno au taya? Au ukapigwa na kitu kizito utosini tuus? Au ungepiga mtu akafa?hakwenda kwa nia ya kuanzisha vita bali kuhoji kuhusu utapeli aliofanyiwa
nipe namna nzuri ya kumpiga chin huyu mrembo maana namkubali sana hata nikipanga kumpiga chin najikuta nimemtafuta tu yani nashindwa nifanyejePiga chini
Piga chini
Piga chini
Nilikuwaga na demu wa dizaini hiyo, akiondoka kwangu hata Kama timelala wote hapokei Simu hata Kama amepnda basi na umejirishisha amepanda basi.
Utashangaa jioni ndio anakutafta na sababu hazieleweki.
Aliniaumbua sana.
Piga chini
Piga chini
Piga chini
ndio maana ya maisha kila siku unapata mafundisho mapyaHalafu akaanzisha vita ambavyo ulivipigana wewe na akakuacha hapo ili usokotwe ilihali polisi anapajua. Ungetolewa meno au taya? Au ukapigwa na kitu kizito utosini tuus? Au ungepiga mtu akafa?
Ni kweli, hongera kwa kupata somo bila madhara makubwa.ndio maana ya maisha kila siku unapata mafundisho mapya
asante mkuu nawaza jinsi ya kumpiga chini ambayo haitaleta madhara pande zote mbili kwake na kwanguPole sana mkuu kwa mapito hayo na bado kakunyima achana naye tu
asante mkuu maisha yanatupitisha kwenye mambo mengi hata yale tusiyoyatarajiaNi kweli, hongera kwa kupata somo bila madhara makubwa.
ndio maisha mkuuInasikitisha sana
sawa mwandishi wa riwaya na hotuba za mama kizimkazi hapo magogoni natumaini unaendelea vizuriUnaandika vibaya sana, huna nukta wala mkato. Uandishi wa namna hii unachosha kusoma.
asantePia usisahau kuwa mshahara wa dhambi ni mauti.