Jinsi mrembo alivofanya niende mahabusu kwa mara ya kwanza

hakwenda kwa nia ya kuanzisha vita bali kuhoji kuhusu utapeli aliofanyiwa
Halafu akaanzisha vita ambavyo ulivipigana wewe na akakuacha hapo ili usokotwe ilihali polisi anapajua. Ungetolewa meno au taya? Au ukapigwa na kitu kizito utosini tuus? Au ungepiga mtu akafa?
 
nipe namna nzuri ya kumpiga chin huyu mrembo maana namkubali sana hata nikipanga kumpiga chin najikuta nimemtafuta tu yani nashindwa nifanyeje
 
Halafu akaanzisha vita ambavyo ulivipigana wewe na akakuacha hapo ili usokotwe ilihali polisi anapajua. Ungetolewa meno au taya? Au ukapigwa na kitu kizito utosini tuus? Au ungepiga mtu akafa?
ndio maana ya maisha kila siku unapata mafundisho mapya
 
Unaandika vibaya sana, huna nukta wala mkato. Uandishi wa namna hii unachosha kusoma.
sawa mwandishi wa riwaya na hotuba za mama kizimkazi hapo magogoni natumaini unaendelea vizuri
 
Pia usisahau kuwa mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…