Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
- #101
Mada inahusu Waislamu wa Tanganyika. Narudia tena Waislamu wa Tanganyika. Si vibaya na wewe ukaanzisha Mada ukazungumzia hata Mabaniani na Marastafari wa Tanganyika au wa Zanzibar. Kwa mujibu wa JF kuanzisha mada ni Ruksa!, basi ianzishe tutakuja kuchangia!Unaonekana tuu mbinafsi, huwezi kutaka amani na nafuu ya upande mmoja kwa kuacha kuzingatia upande mwingine kwa kigezo cha kuacha watu wengine wawasemee. Uzi wako umekosa mantiki kwa kitu kidogo tu, mtu anaweza asianzishe uzi mwingine, ila aka dump kila ulichoandika kwa sababu hiyo tu.