Jinsi Muungano unavyoathiri Waislamu wa Tanganyika wakati wale wa Zanzibar wakineemeka

Unaonekana tuu mbinafsi, huwezi kutaka amani na nafuu ya upande mmoja kwa kuacha kuzingatia upande mwingine kwa kigezo cha kuacha watu wengine wawasemee. Uzi wako umekosa mantiki kwa kitu kidogo tu, mtu anaweza asianzishe uzi mwingine, ila aka dump kila ulichoandika kwa sababu hiyo tu.
Mada inahusu Waislamu wa Tanganyika. Narudia tena Waislamu wa Tanganyika. Si vibaya na wewe ukaanzisha Mada ukazungumzia hata Mabaniani na Marastafari wa Tanganyika au wa Zanzibar. Kwa mujibu wa JF kuanzisha mada ni Ruksa!, basi ianzishe tutakuja kuchangia!
 
Rudia mstari wa mwisho wa hiyo comment
 
Back
Top Bottom