Lakini unasahau kwamba labda Uchumi wa Tanzania karibia wote kwa >85% umeshikikiwa na Waislamu, leo hii Mtanzania yoyote akitafuta kazi private sector hakwepi Uislamu, hivyo Waislamu Tanzania ndiyo wako privileged na wanamiliki Uchumi wa nchi na Mbuga zetu na rasilimali Waislamu ndiyo wamiliki, sijawahi kusikia mfanyabiashara mkubwa Mkristo ukiondoa Mengi (RIP) na alipigwa vita kweli kweli hata na Wakristo wenyewe ingawaje alipambana.
Hivyo kama ni Haki na Mpambano Wakristo ndiyo wanaopaswa kupambana na kuamka pia kumiliki Keki ya nchi, wanaoneemeka na Tanzania ni Waislamu, Wakristo wengi wamelala they don’t own anything wanafikiri Ubunge au Uwaziri ndiyo kila kitu kumbe wanasahau wanao pool strings Tanzania ni Wafanyabiashara na haijalishi raisi ni nani, na Wafanyabiashara wakubwa >75% ni Waislamu.
Kuanzia football wamiliki wa football clubs ni Waislamu Wakristo kazi yao kushangilia tu, wauzaji mafuta ya kula, Supermarkets, wamiliki wa vyombo vya Habari, Migodi, Mbuga zetu wote ni Waislamu, Wakristo nchi hii ni Watumwa tu kama Msigwa ingawaje hawalijui hilo, bado wamelala.
Hivyo kama kuna yoyote anayepaswa kupambana na kujikwamua ni Mkristo wa Tanzania, Waislamu wako vizuri sana kiuchumi, …