Jinsi Muungano unavyoathiri Waislamu wa Tanganyika wakati wale wa Zanzibar wakineemeka

Jinsi Muungano unavyoathiri Waislamu wa Tanganyika wakati wale wa Zanzibar wakineemeka

Lakini unasahau kwamba labda Uchumi wa Tanzania karibia wote kwa >85% umeshikikiwa na Waislamu, leo hii Mtanzania yoyote akitafuta kazi private sector hakwepi Uislamu, hivyo Waislamu Tanzania ndiyo wako privileged na wanamiliki Uchumi wa nchi na Mbuga zetu na rasilimali Waislamu ndiyo wamiliki, sijawahi kusikia mfanyabiashara mkubwa Mkristo ukiondoa Mengi (RIP) na alipigwa vita kweli kweli hata na Wakristo wenyewe ingawaje alipambana.

Hivyo kama ni Haki na Mpambano Wakristo ndiyo wanaopaswa kupambana na kuamka pia kumiliki Keki ya nchi, wanaoneemeka na Tanzania ni Waislamu, Wakristo wengi wamelala they don’t own anything wanafikiri Ubunge au Uwaziri ndiyo kila kitu kumbe wanasahau wanao pool strings Tanzania ni Wafanyabiashara na haijalishi raisi ni nani, na Wafanyabiashara wakubwa >75% ni Waislamu.

Kuanzia football wamiliki wa football clubs ni Waislamu Wakristo kazi yao kushangilia tu, wauzaji mafuta ya kula, Supermarkets, wamiliki wa vyombo vya Habari, Migodi, Mbuga zetu wote ni Waislamu, Wakristo nchi hii ni Watumwa tu kama Msigwa ingawaje hawalijui hilo, bado wamelala.

Hivyo kama kuna yoyote anayepaswa kupambana na kujikwamua ni Mkristo wa Tanzania, Waislamu wako vizuri sana kiuchumi, …
Wewe ni mjinga wa kiwango cha juu sana,Jiografia ya Tanzania inaruhusu hivyo mji mkuu wa Tanzania Dar es Salaam unapatikana katika eneo ambalo asilimia 75% ya wakazi wake kiimani ni Waislam,hivyo fursa nyingi zinazoiwakilisha nchi lazima watu walio karibu na huo mji wawe wengi.
 
Wazanzibari, kwa mujibu wa Sensa ya 2022, ni Asilimia 1 (01%) ya Watanzania. Wanapangiwaje Asilimia 25 (25%) ya nafasi za Ajira katika Serikali ya Muungano?

Hii ni kero kubwa ya Muungano. Kero nyingine kubwa ni vipi SSH awe 'Rais wa Tanganyika' (kwa maana ya kuwa na absolute power over Mainland Tanzania hata juu ya 'Mambo ambayo siyo ya Muungano' wakati Rais Mtanganyika hana mamlaka Zanzibar kwa mambo yasiyo ya Muungano?
Tanganyika iko wapi!?
 
Hawa watu sampuli ya mleta uzi huu ni hatari sana na mawazo kama haya yakikomaa yanazaa element ya ugaidi. Kila wakati mtu anawaza udini tu utafikiri hiyo dini ndiyo inampatia mkate wake wa siku.
Unakuaje Kama haimpatii mkate?
 
kweli kabisa ukimkuta muisilamu serikali tena akikuona umevaa kisilamu hata kama huna shida nae akisha kuona tu anatamani kujificha chini ya meza, ukiwa nashida ofisini boro umkute mgaratia atakuelekeza shida yako kuliko hawa wisilamu wenzetu lakini mgaratia huyo asiwe mrokole awe mloma msabato
Kabisa, wagalatia hasa Waroma hawana shida, tunakaa nao makazini hata majumbani yaani safi tu, kazi yangu niliyonayo sasa ni mgalatia tena wa kanda ya nyonyo ndiye aliniunganisha aisee!!

Sema ukutane na wenzetu wenye suruali fupi wanaopata mafunzo maalumu pale msikiti wa Switkona pale Sinza darajani kwa mbele kidogo karibu na shule ya Tandare Mangharibi; ayayayaya wale sooo...kwanza wanatubagua siye Wengine ati si Waislam.

Kuna siku nitasema jambo msikitini mbele ya mashekh wetu kama viboko nitatandikwa tu kwani nini?
 
Kipindi hiko..

Umemaanisha nini? Hivi mtaacha lini kuandika Kiswahili cha vidada vinavyoanza kuota matiti?
Mkuu nadhani naandikia Waswahili wenye mchanganyiko wa Wabara, Wamwambao na wale wanaozungumza lahaja nyingine za Kiswahili. Nikifanya hivyo ili kila mtu afahamu. Ningekuwa nazungumza kwetu ningeandika 'hicho'. Wewe ungandikaje? Kiswahili ni mchanganyiko wa lahaja nyingi, hivyo unapaswa kuwa mvumilivu; vinginevyo itabidi mimi na wewe turudi darasanie, jambo ambalo
 
Kweli mwanangu, sema sisi Waislam wengine bado njaa kali mwanangu, yaani makato yaani makato ya kodi mpaka ndoa zinayumba *****
Hao uliowataja wanamiliki nini Tanzania ukiondoa labda kuficha fedha Dubai? Wameajiri watu wangapi? Hao wote akina Lowasa &Co. ni agents wa Wafanyabiashara Waislamu, wanawatumikia na kulipwa na Wafanyabishara Waislamu, ni kama Msigwa tu, rasilmali za nchi zinaibiwa, yeye kazi yake kutetea na tena ni Mchungaji au anajiita hivyo atleast!

Mkuu nadhani naandikia Waswahili wenye mchanganyiko wa Wabara, Wamwambao na wale wanaozungumza lahaja nyingine za Kiswahili. Nikifanya hivyo ili kila mtu afahamu. Ningekuwa nazungumza kwetu ningeandika 'hicho'. Wewe ungandikaje? Kiswahili ni mchanganyiko wa lahaja nyingi, hivyo unapaswa kuwa mvumilivu; vinginevyo itabidi mimi na wewe turudi darasanie, jambo ambalo
Ooh! Sawa nimekuelewa Mkuu! Tuko pamoja!
 
Mie sitaki kujua kuhusu dini ya aliyeteuliwa na ktk hiyo dini, Ni mwanadini wa upande upi wa muungano amenufaika

Swali langu Ni Je, mambo haya ya LATRA Ni ya muungano? Kwamba LATRA ipo mpaka Zanzibar?
 
Mie sitaki kujua kuhusu dini ya aliyeteuliwa na ktk hiyo dini, Ni mwanadini wa upande upi wa muungano amenufaika

Swali langu Ni Je, mambo haya ya LATRA Ni ya muungano? Kwamba LATRA ipo mpaka Zanzibar?
Na mimi nasubiri wajuzi wa hili jambo waje.
 
Kabisa, wagalatia hasa Waroma hawana shida, tunakaa nao makazini hata majumbani yaani safi tu, kazi yangu niliyonayo sasa ni mgalatia tena wa kanda ya nyonyo ndiye aliniunganisha aisee!!

Sema ukutane na wenzetu wenye suruali fupi wanaopata mafunzo maalumu pale msikiti wa Switkona pale Sinza darajani kwa mbele kidogo karibu na shule ya Tandare Mangharibi; ayayayaya wale sooo...kwanza wanatubagua siye Wengine ati si Waislam.

Kuna siku nitasema jambo msikitini mbele ya mashekh wetu kama viboko nitatandikwa tu kwani nini?

Kumbe huwa mnakula mboko aisee,pole sana.
 
Brigedia Adam Mwakanjuki, Jaji Augustino Ramadhani, Charles Hilary......
Mkuu mimi naogezea Modline Castico, Suzan Kunambi, Marina Joel Thomas na Joseph Kilangi. Hawa wote hivi sasa ni wakuu Serkalini ukiacha Castico ambaye amestaafu. Suzan na Merina ni wakuu wa wilaya na Joseph ni Katibu Mkuu au Mkurugenzi.
 
Brigedia Adam Mwakanjuki, Jaji Augustino Ramadhani, Charles Hilary......
Huyu makanjuki alishafariki ila jamaa alikua roho mbaya sanaaa alikua akifanya kazi pale wizara ya mawasiliano alifariki kwa ajali kma sijakosea
Kuna ishu iyo aliwahi fanya ila siwezi sema hpa dah
 
Bro. Missile of Nation@
Umefanya uchambuzi muhimu sana ambao wengi hawajuufikiria. Kwakweli ni muhimu sana Waislam wa Tanganyika waanze kuhitathmini uwakilishi wao ktk Muungano.

Inasikitisha kuona ndugu zetu wa Kikiristo kulingiza hisia zao za kijinga ktk huu uzi
 
Hii mada iko objective. Utapotea sana ukiijadili kwa hisia, udini au ushabiki.

Hii mada siyo ya kidini ndiyo maana Inahoji namna gani waislamu wa upande mmoja wanufaike zaidi kuliko wa upande mwingine licha ya wote kuwa dini moja.

Kwa hiyo weka hisia pembeni, njoo tujadili hili suala la kijamii tukiwa open minded!

Mimi Mkristo wa Kibandamaiti nasaidikaje hapa.
 
Back
Top Bottom