Jinsi Mzalendo Magufuli alivyofanana Sana kimtazamo na Idd Amin Dada

Alhaji Dr General Iddi Amin Dadaa
His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada Oumee , VC, DSO, MC, CBE, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular
 
Wote walikuwa country bumpkins.
 
Baadae alikuja Nikita Sergeyevich Khrushchev Ali denounce matendo ya Stalin kwa kuondoka sanamu zake na maovu yake yalifichuka alikua tyrant haswa haswa
 
Wewe ulikuwa fisadi na Muuza ng'ada uliyekubuu ndio maana bado unalilia pamoja na Jpm kumaliza mwendo wake.Sisi tunamwona Jpm alikuwa Rais bora kutokea Afrika mzima sio Tanzania tu,Sikiliza hotuba za marais waliokuja kwenye mazishi yake Dodoma, Rais aliyejivunia utanzanzania wake,akupiga goti kwa mabeberu apate msaada, alifanya Mambo ambayo yaliwashinda marais wengine waliomtangulia miaka 40, according Ally Mwinyi tena akayafanya kwa miaka 5tu ,ni wivu tu ndio unaowasumbua.
 
Alikua dikteta, fisadi aliyemtishia CAG kwa kuonyesha ubadhilifu
 
Ahsante sana. Kumbe Magufuli anafananishwa na wauaji halafu hapa bongo wanasema ni Mtakatifu. Asante mdau kwa bandiko murua
 
Mara ya kwanza nafika Berlin miaka hiyo mwenyeji wangu aliponiambia miongoni mwa project adhimu zilizofanywa na Nazi ya Adolf Hitler ni ule mpangilio wa Autobahn ambao lilikua ni wazo la miaka zaidi ya 40 nyuma..

Madikteta wengi hufanana kwa tabia na hata mambo kama ya ujenzi ! Ila hujisahau sana na kudhani wanaongoza mabarabara...

Nilijiuliza swali je wajerumani kwa barabara zile kwanini wasingeamua Hitler awe mtawala milele! Nilipata jibu ni kuwa watu hawali barabara wanahitaji uhuru na kujipangia maisha...
 
Ahsante sana. Kumbe Magufuli anafananishwa na wauaji halafu hapa bongo wanasema ni Mtakatifu. Asante mdau kwa bandoko murua
Hukumjua Amini, alikuwa na vitu vingi vizuri. Ndio maana nimeandika uzi huu
 
Kwa hiyo kama wanafanana, si ni wakati sasa kama Taifa, kulichukua jambo hili kama moja ya LEGACY ya Hayati!! Yaani Yahati nae alikuwa ni Dikteta kama alivyokuwa Idd Amini Dada!

Au nitakua sijaelewa lengo hasa la hii mada?
Lengo langu ni kuwa, NI wakati wa kumkumbuka idd Amini kwa mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…