Jinsi Mzalendo Magufuli alivyofanana Sana kimtazamo na Idd Amin Dada

Nilisubiri useme wote walikuwa wanazungumza kiingereza cha kuvunjika vunjika nikuporomoshee tusi moja la kwenye kanga
 


Guess what...JPM has refused to die! Anahangaisha watu mpaka leo akiwa amekufa. What a blessing!!!

Magufuli baba wewe ulijua kuchapa kazi sasa umepumzikaaaa ila ujue tuu

Huku duniani umeacha watu na mhaho zaidi ya ulivyokua hai..... na ulivyopanda mbegu zikamea bado kidogo tuu wataanza kusema heri ungekua hai

Ulipoondoka tuu walishangilia na kumpongeza SSH kwa fujo na kukukashifu... baada ya SSH kusema kazi mliyoanza pamoja iendelee wamemgeukia. Walimwengu wazito kweli kweli hawa....

Baba huku unatajwa kila sekunde.... waliokuelewa zaidi ya 84% wanakutaja wakisema ulale mahala pema ila wale wasaliti na watesi ndio wana mhaho hadi wanapata magonjwa yasiyoambukiza... tumeshawaomba wakuache upumzike kwa amani wanashindwa..... sasa tumeamua kuwaacha wafe kwa kujitakia maana chuki ni mbaya kuliko ugonjwa wa moyo


Gone but never forgotten... Rest in peace shujaa wetu

Cc Tangawizi
 
Je wote walikuwa wanakula nyama za watu kama tulivyoambiwa na Nyerere kuhusu Idd Amin ?
Ilikuwa propaganda tu. Ingawa jamii aliyotoka ilikuwa ikila nyama za watu hapo awali. Ila Amin Kama Amini hakuna ushaidi wowote wa kuwa alikula nyama za watu
 
N
Nilisubiri useme wote walikuwa wanazungumza kiingereza cha kuvunjika vunjika nikuporomoshee tusi moja la kwenye kanga
Ilisahau, wote waliimiza matumizi ya kiswahili. Idd Amini ndie alisisitiza kiswahili kuwa Lugha ya Jeshi la Uganda na hawakuwa wazungumzaji wazuri wa kiingereza
 
Mtu hata kuandika kiswahili fasaha huwezi nani apoteze muda kusoma mashudu yaliyojaa humo.

Balaza = Baraza.

Garama = Gharama.

Uku = huku.

Mseveni = Museveni.
 
Hata Nduli Idd Amin has refused to die Ndio maana mpaka leo anahangaisha watu
Idd Amin amesahaulika kwetu. Uganda wanamkumbuka sana. JPM kuanza kumpa nafasi ndani ya mwezi ni mapema mno. Muda utayaweka yote sawa na atapata anachostahili
 
"You have freedom of speech but I can't guarantee you freedom after speech"-nduli odd Amin dada.

" Hamko huru kiasi hiko, not to that extent....huwezi kuwa msaliti ukasavaivi"- kayafa aitwae jiwe
 
Hivi ni kweli Amini akila nyama za watu?
Uongo tu. Western media wakitumikia nchi zao walifanya kazi kumuonyesha kama shetani 'demonise' . Mwanzo walimsifu kwani alimuangusha adui yao obote. Alipofukuza wafanyabiashara wahindi wenye haki kukimbilia uingereza basi kuanzia hapo akawa shetani.
 
Huu ni ufananisho wa kipuuzi tu kumlinganisha magufuli aliyechaguliwa kidemokrasia na iddi amin aliyeingia madarakani kwa mapinduzi. Yote hayo ni majaribio ya wapinga maendeleo na fisadi kumdharaulisha magufuli kiongozi ambaye ameacha kumbukumbu nzuri na majonzi makubwa kwa raia wa tanzania kutokana na kifo chake.
 
Wote walikuwa madikiteta walikufa vifo vya fedheha na aibu kubwa.
 
Magudulin amedidimiza nchi yetu ktk nyanja zote za maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…