Jinsi Mzalendo Magufuli alivyofanana Sana kimtazamo na Idd Amin Dada

duuh
 
Nilipokuwa Uganda nilishangaa kuambiwa kuwa Idd Amini ndie aliyejenga majengo makubwa ya serikali mjini Kampala ndani ya kipindi kifupi cha utawala wake na baadhi ya project kubwa. Achilia image mbaya iliyojengeka huku Tz, kule Uganda Idd Amini wengi wanasifu utawala wake.

Jao nae alikuwa na kikosi cha siri (wasiojulikana), kazi yao ilikuwa ni kuwapoteza wakosoaji na wapinzani.
 
Idd amini ashagawahi mpandisha cheo mfanyakazi wa chini benki kuu kisa kawaonesha ofisi ya gavana walipokua wameenda kumkamata kwasababu uchumi ulikua unashuka.WEJI alimpandisha mtu kua jaji kisa kahukumu kwa kiswahili(hakutaka hata kujua Kama kahukumu kwa haki)..so much in common
 
kikubwa rais wa sasa akitaka atusue,basi abalansi ubabe wa magufuli,ila akili iwe ya jk.

awe rais mjanja,mwenye mabavu.
 
Nina hakika Magufuli hatasahaulika.

Familia ya Ben Saanane itawezaje kumsahau Magufuli?

Familia ya Azory Gwanda itawezaje kumsahau?

Tundu Lisu atawezaje kumsahau Magufuli?

Mdude atawezaje kumsahau Magufuli?

Mo, Manji, Bakhresa, watawezaje kumsahau Magufuli?

Wale wafanyakazi wa umma waliokosa kuongezwa mushahara na madaraja kwa miaka 5 watawezaje kumsahau Magufuli?

Magufuli hataweza kusahaulika, japo siyo kwa kiwango cha Hitler, lakini angalao kwa kiwango cha Idd Amin, Bokasa, Nguema na Wazabanga wa Zaire.
 
Hiyo tisa, kumi pamoja na sarakasi zoote hizo wote 2 wameishia kuwa chakula cha mchwa!
 
Ni uchaguzi gani wa kidemokrasia uliompa madaraka Magufuli? Huo ambao wakurugenzi waliambiwaoe wamtangaze mpinzani ameshinda?

Magufuli hakuwahi kushinda uchaguzi wa Rais, iwe2015 au 2020. Huo ni ukweli. Mwulize Nape na January. Mzee Lowasa pamoja na kuonekana dhaifu, Mungu amempa zawadi ya kuyaishi maisha marefu ili aushuhudie mwisho wa wadhulumaji maana kuishi ni bora kuliko cheo.
 

Wakati unaandaa hiyo list ungeongeza na hawa watanzania wengine hapa ujifunze kutenganisha vifo au majanga yanayotokea na Serikali yetu


Wapinzani mnatafutaga credits hata kwenye mambo yasiyokuwepo wala kuwezekana...

Jiulize hawa CCM waliouwawa hapa wanatakiwa kumlaumu Tundu, Zito au Mbowe ???
 
Kama kuna kukutana huko kuzimu na wakaanzisishe serikali yao, sisi hatujali kabisa, Kikubwa Mungu katuondolea, mengine ngonjera tu.
 
Unapoanza kujali hoja kwa kuanza kufikiria upinzani na uccm Basi unafunga Akili zako na kutoa Uchafu tu. Ufanano niliouonesha NI wa mazuri na mabaya.
 
Hujidai kumpenda Mungu na kuvutia viongozi wa dini lakini ni wauaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…