Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kutokana na utafiti uliofanywa na vyombo vya kimataifa kama New York times kuhusu utamaduni wa kufunga ndoa.
Unaonesha utamaduni wa kuoa au kuolewa unapoteza nguvu ndani ya jamii zile zinazo endelea na zilizo endelea kwa kasi.
Utafiti uonesha vijana wa mataifa yaliyo endelea na yanayo endelea wamekosa kuonesha hari ya kutaka kufunga kutokana na sababu mbalimbali zinazo wasukuma wao kuupuzia utamaduni huo.
Pia hali ya kuzaa watoto wengi inazikumba pia hizo nchi kutokana na vijana wa mataifa hayo kuupuzia mtindo wa kuwa na familia kubwa.
Jambo lililo pelekea ukuaji wa population kwa mataifa hayo kushuka kwa kasi mfano wa mataifa hayo ni Japan, Korea, China utafiti ulifanyika.
Note.
Jambo la kujifunza kupitia utafiti huu ni kwamba kuzaa hovyo hovyo ni mtindo wa watu masikini na nchi masikini pia ndoa ina uhai kwa mataifa masikini pekee