Kuna faida gani sasa ya kuwa na mwanamke kama anakujudge kwa kiasi cha pesa ulicho nacho. Cha msingi si ni kutafuta pesa.... Then unakata mti na kupanda mti..... Yanini kukaa na mtu anaetaka kutumia chako ila hayupo tayari kuwa na wewe unapokuwa mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Livivu hii ni offensive word iondoe chuki zako peleka leba.
.
Mchagua jembe si mkulima ni uzamani ingelikuwa hivyo tuzingechagua waks wazuri wakuoa tungeparamia majanamke yoyote tu.
.
Pancho alikuwa chini ya Hermy B kwenys studio zinazoitwa B-hits
Mabeste kafanya kazi na makochali ngoma kibao tu hizo story apelekee wagonjwa wenzake maana kale sio kazima.
.
Siongezi views kwenye vichanel uchwara mimi nimeitazama clip nikujuapo.
Mabeste alikuwa hapatani na ndugu zake kwa sababu ha hako ka mwanamke ndio maana hata kalipougua ni kama walimtupa.
Angalau kamekwenda nyota ya Mabeste itang'ara tena
Tumia akili kaka huyo demu nae ni shida, sasa baada ya haya yote kisa cha yeye kumuacha mshikaji ni nini? Na kwa nn kaenda kuishi na mshikaji wake na mabeste?
Mabeste yupo sahihi kaachwa sababu hana hela mwanamke kauchoka umaskini.
Hao wana sifa ya kutotambua wanacho kitaka..... Though Huwa nawashangaa sana watu wenye pesa ...Yaani Nina pesa zangu halafu nioe ili iweje !!!?Kama yule boss wa uhuru 1,si alikuwa na mpunga lkn bado mke akazinguaa
Tatizo Hawa wenzetu wa dhaifu sana na wanasahau mapema
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unafikiri Lisa ni malaika kwamba anachosema ni sahihi kwa asilimia 💯
Yaani kama kweli kaenda kuishi na rafiki wa ma-beste basi huyo mwanamke hamna kitu
Mimi Kuna content nilisema kwamba Huyo mwanamke alimpenda ma-beste kwa sababu ya status Yake na sio vinginevyo .....now ma-beste ka-flop hawezi kuona tena thamani Yake ..cause kile kilicho mfanya avutiwe na ma-beste hakipo tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna mtu mbaya duniani kama yule anayefanya hata mazuri uliyoyafanya kuonekana kama ilikuwa ni nguvu zake binafsi !!!..
Lisa kafanya kulipiza ili amchoreshe mabeste kama ni GOOD FOR NOTHING hata kwa ile kampeni ya ugonjwa wake. That's totally bad
Mabeste kamuhangaikia sana regardless yeye ndiye aliyetoa wazo kama anavyosema maana mwisho wa siku ni jitihada na jina la mabeste ndo lilileta pesa. Sio IDEA
Either ways Kuna cha kujifunza
Tofauti yao ni kwamba riyama alimkuta jamaa marioo kapuku hana kitu na akampenda hivo hivo na riyama kwa huyo Leo mysterio anataka love tu nothing else coz Huyo Leo hajawahi kuwa na jina kubwa km mabesta na muziki dizaini km umemshinda
Mwanamke anaweza kukuzushia lolote mkigombana..
Jifunze kuwaelewa hawa wenzetu.
I advise you kama una nafasi zisikilize hizo interview.
Hilo la kwamba jamaa alikuwa rafiki wa jamaa pia siyo, limezungumziwa.
Tulishaimba.Sawa mabeste gia ya nitoke vipi imekutoa vyema. Basi wacha tuone nyota yako iking'aaa. Shine bright like a diamond
Mwanaume ambae analalewa ni mario suguIla si ndo uyu demu ambae alikua anaumwaga kpnd flani hv MABESTE alikua nae bega kwa bega lamn ? Au yule alikua kamikaze maana nawafananishaga sana hawa jamaa wawili
yess BiShoo haswaaA
We unauhakika kwamba Lisa yupo sahihi na maneno yake ni ya kweli? eti alikuwa ananyanyaswa na mabesteWatu humu wengi sio wafuatiliajo wa mambo halafu kujikuta ujuaji. Aliyeanza kuongea ni MABESTE aanzae mmalize. Yeye kaanza kumkandia ex wife maneno kibao ofcourse hata mimi nilikua upande wake. Kuja kumsikiliza lisa nikabaki OMG najuta.
Mabeste livivu linakaa tu kutegemea mwanamke atafute. Mwanaume yuko radhi afanye kazi za nyumban ashinde na watoto lakini asitoke nje kutafuta. Huyo ni mke au mume?
Kumsaidia kipindi anaumwa sio justification ya kumnyanyasa. Kila mtu kuna mtu amemsaidia maishani mwake lakini maisha yameendelea. Dume vivu mfyuuuu. Huyo lisa alijua kumvumilia dume suruali.
Wanaume tumeambiwa tutakula kwa jasho sio kulelewaNaam nikweli ...Mwanamke akikosa Kazi maisha Yake yote Mwanaume atamvumilia .....ila mwanaume akikosa Kazi mwezi 1 tu basi kuna hatari kubwa kwa ndoa Yake kuvunjika
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutafute pesa wanaume sio kuishi kwa mtelezo,hii tabia ya kulelewa imeshika kasi sanaPesa pesa pesa
Wanaume wenzaangu nawaasa tutafute pesa aisee. Hizo sababu aalizotoa uyo Lisa inaonyesha tatizo ni pesa tu imekauka kwa mabeste
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa ndgu zao wamekua marioo sugu,anataka kuishi bila kutafuta yani atafutiwe,mwishoni ni kufumuliwa marinda tuMabeste alikuwa Marioo.
Kazi hafanyi, muziki hafanyi. Yuko Busy na media tu na neno 'Nakupeoda, Nakupenda'
Does the word Nakupenda pay bills ?
Hivi Mabeste huwa ni mchagga ?
Miaka ya karibuni vijana wa kichagga wamekuwa ma-marioo wa kutosha.
Wengine wanaolewa Ulaya wengine Bongo !
Daaah
Inaonekana wewe ndio unamjua vilivyo,kama mtu hatafuti huyo ni marioo sugu,mwisho wa siku utatafuniwa mkeo uanze kulalamika kua wife sio muaminifuNaam nikweli ...Mimi nilikuwahga karibu sana na Mona gangster Ma-beste alikuwaga anakuja pale classic sound na shetta pamoja na marehemu Pancho .... So najua kiasi baadhi ya story zao zinazo husu maisha yao ... So unachokisema ni kweli Huyo binti alijitoa sana kwa ma-beste .... Ma-beste ni msanii mwenye kipaji sana '' Lakini tatizo Hana kiu ya kutafuta mafanikio
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah amesema kwenye media.