Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Nakazia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke akikuchoka hasa kama mambo yako yakikaa kushoto akiwa anahadithia hakuna zuri atalolisema kwako yani atasahau mazuri yote uliyowahi mfanyia hata kama alipofika una mchango mkubwa hatosema yani atakusema vibaya sana mpaka utabaki aaah!!!
 
Ile interview ilikuja baada ya mabeste kuongea. Nenda mitandaoni uone lisa alivyokua anashambuliwa na matusi juu baada ya mabeste kuongea. Lisa alifanya ile interview kwa jazba plus hasira like mimi nimekutunzia madhaifu yako mengi wewe unanitukanisha.
 
Mwanaume huna kazi unashinda tu ndani hata kuzunguka kuangalia issue mbalimbali uonekane kweli mume wangu anahangaika sema kazi zimekua ngumu. Wewe umekaa tu umebweteka umetulia tuliii sababu unajua mke analeta. Hiyo hali inachosha sana.

Hata wanawake wasioingiza kitu ndani wananyanyasika sana. Vinachosha.
 
Wanawake hawajifunzi hutakiwi kumlipia mahari mwanaume wako kwenu hata iweje yaan maana mahari ni kipimo cha uwezo wake kwenye kutimiza wajibu mkiwa ndani.
Lakini yote kwa yote mahusiano yana Mambo mengi so ukweli wanaujua wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda mabeste alikuwaa anahangaika ila from my experience mwanamke kama mambo yako hayako sawa na huna pesa yeye ndiye ana vijisent, atakusema vibaya na inafika kipindi anaona kama unamboa tu hata ukitoka kuhangaika ukaka sebuleni ukawasha tv anaona kama vile uhangaiki na kwanini unawasha tv ambayo umeme na kifurushi kakilipia yeye.
Nyie wanawake bwana aisee inabdi tuishi nanyi kwa akili hakunaga shida na raha kwa wanawake wa siku hizi.
Mwanaume mwenzangu hakikisha unapambana ukiwa na mwanamke kila siku uwe na uwezo wa kuwezesha uwepo wa raha tu.
Siku shida akibisha mlangoni mwako, mapenzi atatoka ndani kwa kuruka kupitia dirishani na utapata tabu sana.
 
Kwani nyie wanawake mkiwa na wanaume wenye pesa na nyie si kutwa kshinda Hyatt hotel, na kwenye masool yenu makubwa, shopping haziishi, party, mnakaliaaa umbeaaa siku mwanaume akiymbaaa mnatoka nduki
Mbna mwanzoni hakulalamika khsu Maisha au jamaa kushuka ndy yamekua hayoo
Lisa mwenyewe alikuwa video vixn unaenda kumuoaa video vixen si Sawa na kuoaaa stripper
Au ukamuoee masogangeee

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeside upande gani?
Mimi nacomment hakuna hat interview niliyoskiliza uwa siko interested kusikiliza interview za watu walioachana ila tu naongea from experience.
Na uzuri wanawake uwa ni rahisi kuaminiwa na jamii kuliko mwanaume.
Mwanamke anaweza kukuua makusudi tu kwa kukushoot na akasema ilikuwa self defense na jamii ikamuamini faster kuliko wewe umuue mwanamke kwa self defense kweli na bado hutoaminika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ni kawaida hata kijana uwe kwenu ushamaliza chuo kazi huna lazima upate masimango nyumbani. Kipatoless sio ulemavu ila unatesa sana unaowategemea.
 
Baada ya kusikiliza interview ya huyu dada nimeprove vitu fulani kutoka kwake

1. Ana busara

2 ana sifa za kuwa mke hasa kitendo cha kumfichia siri aliyekuwa mume wake

3. Uvumilivu

4 she so matured


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…