Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Nimesikiliza intavyuu ya Lisa nimesimama na Lisa aseeeh nna hakika100% amesema ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
nyinyi wanawake aisee sio wa kuwaamini 100% , ni mafundi sana wa kuongea na kupaka rangi maneno.

Mimi nilichokiona hapo ni mambo ya kiroho ndio yaliyowayumbisha hao, inaonekana mabeste miungu ya ukoo wake inamuandama kwa sababu alikiuka tangu mwanzo, hakufuata procedures za kwao katika kumpata na kumuoa huyo mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu kweli, ukiwa na hela atatamani ushinde ndani muda wote hata nje usitoke, ukiwa huna sasa hataki kukuona hapo ndani, hata ukilala nje anaona sawa tu.
100% true, ukiwa na hela atakuambia kwa nini upo bize hutengi muda wa kuzungumza na mimi. Ukiwa huna hela unakuwa nae karibu atakuambia, hebu angalia wanaume wenzio walivyo bize kuwatafutia wapenzi wao, wewe mwanaume suruali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeeeehhhh haya maisha, huwa najiulizaga hili swali wanaume wanaokinga mkono kupokea hela ya mwanamke au kuulizia mshahara wake huwa hamuone aibu ilihali mna nguvu za kutafuta
 
Hela ya mwanamke huwa inalemaza vijana wengi kutotafuta na kukimbizana na msako wa pesa
 
Ila si ndo uyu demu ambae alikua anaumwaga kpnd flani hv MABESTE alikua nae bega kwa bega lamn ? Au yule alikua kamikaze maana nawafananishaga sana hawa jamaa wawili

yess BiShoo haswaaA

Kwahiyo alipopona akawa kamaliza majukumu sasa yeye achill tu home kula na kugegeda??
 
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]sawa bwana!!!ninyi ndo wa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa Mabeste ni muuza sura tu. Sijawahi msikia yeye au muziki wake zaidi ya humu. Maybe he used to be popular in the past, but clearly he's not relevant today.
 
Mwamba,
Umeingiza hisia hapa.
Sikoliza interview zao zote ukianzia na mama, mpaka part 4. Utaelewa mchongo mzima.

Nimegundua wanaume wengi apa tunaside kwa hisia baada ya kujifikiria sisi katika viatu vya msela. Tumekiwa wepesi wa kuhukumu. Labda nkupe summary kidogo;

1) Ule msaada alokuwa anaomba mabeste wa mgonjwa, alikuwa anaandika mama maana mwamba ana pride mno. So ilikuwa ni mama anaomba msaada kupitia fun base ya msela.

2) Aliyeanza kutoa vitu vya ndani ni jamaa. Mama alikuja baada ya kuona msela anamchafua mno. Kaja kuweka recodi sawa, na sawa kaweka kweli.

3) Mama ana moyo wa ajabu mno. Ukicheki utagundua alikuwa mvumilivu sana. Sio jambo dogo kukaa na wakwe ambao hawakutaki. Kuoingwa na mawifi. Sio jambo jema umeolewa alafu familia inakupiga tafu we na mumeo na mumeo ana miguu na talent na anatoka kila siku.

4) Siamini kabisa kwenye spirituality na whatever ila alikuwa sincere kweli na hili jambo kwamba wakwe ndio walikuwa wanamtengeneza kiafrica. Either ni kweli ama uongo, yeye hakuwachukia. Wala akumchukia msela.

Mnataka wale wanawake wa miaka ya 60 ? Wanasema;
“Women of this age did not inherit the silent of their mothers”

Huyu Mwanamke ni Mpumbavu kufikia hatua ya kuanza kurekodi mpaka marumbano ya ndani ya ndoa ina maana kua alishapanga kumuacha jamaa.. Na kajipanga kumdhalilisha pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…