radicals
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 4,411
- 6,473
nyinyi wanawake aisee sio wa kuwaamini 100% , ni mafundi sana wa kuongea na kupaka rangi maneno.Nimesikiliza intavyuu ya Lisa nimesimama na Lisa aseeeh nna hakika100% amesema ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilichokiona hapo ni mambo ya kiroho ndio yaliyowayumbisha hao, inaonekana mabeste miungu ya ukoo wake inamuandama kwa sababu alikiuka tangu mwanzo, hakufuata procedures za kwao katika kumpata na kumuoa huyo mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app