Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
This is shitTake time, msikilize huyo dada.
Anyday nitakuwa upande wake.
Hiyo issue ya kwamba Mabeste alihangaika kumsaidia kuraise funds za matibabu kaiongelea vizuri pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is shitTake time, msikilize huyo dada.
Anyday nitakuwa upande wake.
Hiyo issue ya kwamba Mabeste alihangaika kumsaidia kuraise funds za matibabu kaiongelea vizuri pia.
Radio gani Mabeste alienda kuzungumzia huu upumbavu?Siwezi kusikiliza mwanaume akijiliza kuachwa.
Tena yeye mwanaume ndo wa kwanza kwenda kwenye mitandao.
Alitakiwa kufanyia kazi mapungufu yaliyosababisha aachwe, kama ni hela atafute hela, atapata wa kumfaa. Ila kwenda kulia redioni na mitandaoni kutafuta huruma ni kujidhalilisha
Eatv walionesha live kupitia planet bongo. Mpaka home..
Kama mtu mwenye akili timamu kabisa unayejua muziki wa Rapp na unapenda Rapp Mabeste apambane atoboe nini?Watu wakiachana hakuna anayekubali kwamba tatizo limetokana na yeye.
Lakini mara nyingi, the guilty ones ndiyo wa kwanza kutangaza chanzo cha kuachana.
Mfano, kama kweli Mabeste kaachwa sababu ya pesa, akienda kwenye media atapewa hiyo pesa?
Akae kimya, apambane atoboe.
Kama mtu mwenye akili timamu kabisa unayejua muziki wa Rapp na unapenda Rapp Mabeste apambane atoboe nini?
.
Alishakuwa on top alishafanya kolabo na wasanii wakubwa, alishakuwa kwenye label kubwa, kafanya kazi na producers wakubwa nini kingine
Eatv walionesha live kupitia planet bongo. Mpaka home..
Huyu Dada alikuwa kalala tu hata kuongea hawezi dulla anampa pole hata kuitika kwa kichwa alishindwa achilia mbali kuongea..!
Sasa hivi eti anasema yeye ndo alipanga event, matamasha ya kuchangisha pesa mpaka akapona..! Duh
Ndio ushangae hadi FNL walikwenda pamoja kutoa shukrani.Eatv walionesha live kupitia planet bongo. Mpaka home..
Huyu Dada alikuwa kalala tu hata kuongea hawezi dulla anampa pole hata kuitika kwa kichwa alishindwa achilia mbali kuongea..!
Sasa hivi eti anasema yeye ndo alipanga event, matamasha ya kuchangisha pesa mpaka akapona..! Duh
Yes Mabeste ni msanii mkubwa Bongo.Kwa hiyo kashatoboa au siyo?
Ndiye demu huyo huyo ..mabeste alipambana mpaka akafanyiwa harambee na wa-bongo ili demu wake akatibiwe " na hatimae akapona
Hapa wanaume Tunajifunza kwamba pesa ndio kila kitu " hata ujitoe kwa mwanamke kiasi gani 'Kama hauna pesa Thamani yako itabaki kuwa rehani
Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani tumsikilize pia na mabeste anasemaje kuhusu tuhuma hizi..Ndio ushangae hadi FNL walikwenda pamoja kutoa shukrani.
Mgonjwa mahututi eti apange mipango zote hizo yani unafumua ngumi hadi waliorekodi huu ujinga.
Yes Mabeste ni msanii mkubwa Bongo.
Yani Jux ni mdogo kwa Mabeste.
.
Nyinyi ndio mnaweza hata kuthubutu kusema Marioo ni msanii mkubwa kuliko Mabeste.
Hiyo miezi sita pia inaweza kumfanya ajute maishani mwake... Kupata mwenza mzuri hakuna formula... Ni rehema za Mungu tu.
Mbona yupo wa generation mfano mzuri Kuna jirani yetu alikuwa na maisha mazuri baada ya muda fulani akayumba ana miaka 29 mkewe ana 25 baada kuyumba kiuchumi mkewe akawa anagharamia huduma zote mpaka mtoto ukiachana tu na matumizi ya nyumbani lakini pia alikuwa anampa mpaka mumewe hela za kawaida za kuhuge na za familia yake na hatujawahi kunuona live akimvunjia heshima mumewe hadharani ukiachana na hiyo akamtafutia kazi kabisa mumewe.Ndomaana nakwambia sio wanawake wote wapo Kama mke wa mabeste na tatizo kubwa sisi wanaume tufeli kwanza kwenye kuchagua mwanamke tunaangalia shape na uzuri pekee bila kuangalia vitu vingine matokea yake unapata matatizo Kama ya mabeste na stamina.
Huyo jamaa akili Hana inawezekana haya mambo hayajawahi kumkuta.Ujue wewe nae hatukuelewi..
Ulianza kusema juzi eti diva ni wife material, sijui mrembo ana heshima sijui nn..
Au na hapo unataka kumpiku mabeste?
Sio Siri angekomaa kipindi kile angekuwa far away.Kwa hiyo kashatoboa au siyo?
Ndiye demu huyo huyo ..mabeste alipambana mpaka akafanyiwa harambee na wa-bongo ili demu wake akatibiwe " na hatimae akapona
Hapa wanaume Tunajifunza kwamba pesa ndio kila kitu " hata ujitoe kwa mwanamke kiasi gani 'Kama hauna pesa Thamani yako itabaki kuwa rehani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata nafasi ya kumsikiliza huyo dada utamwelewa.
Hapo imewekwa summary tu.