Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Okay, mara nyingi tunaposhindwa hoja tunakuja na allegations za namna hii.

Siwezi kumtetea mwanaume aliyeolewa na mwanamke for more than 4 years.
Mwanamke kasema alihudumia Familia kwa Miezi Miwili, Wewe unasema 4 Years

Inaonekana wewe umemuamini huyu Mwanamke kwa 100% kwamba yote aliyoyasema ni ya kweli.
 
Hahaha, fundisho kubwa kwetu ni kwamba tupime uwezo wetu kabla ya kuingia kwenye mahusiano.

Kama ukiona level siyo yako waachie wenyewe.
Ha ha ha!!

Wenzako wanaweka ndani walimu unawaona wajinga, unaenda kuchukua wadada wa mjini. Lazima udhalilike.

Siku uchumi ukiyumba utaitwa majina yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tunapoongelea kuhusu wazazi wako ....hapo tunazungumzia Generation nyingine kabisa tofauti na hii generation ya kizazi cha sasa ambacho kilianzia mnamo miaka ya 80 kuja Juu mpaka miaka ya 2000.... Generations hizo tajwa ni disaster especially katika masuala ya mahusiano na Nidhamu ya maadili katika hili taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona yupo wa generation mfano mzuri Kuna jirani yetu alikuwa na maisha mazuri baada ya muda fulani akayumba ana miaka 29 mkewe ana 25 baada kuyumba kiuchumi mkewe akawa anagharamia huduma zote mpaka mtoto ukiachana tu na matumizi ya nyumbani lakini pia alikuwa anampa mpaka mumewe hela za kawaida za kuhuge na za familia yake na hatujawahi kunuona live akimvunjia heshima mumewe hadharani ukiachana na hiyo akamtafutia kazi kabisa mumewe.Ndomaana nakwambia sio wanawake wote wapo Kama mke wa mabeste na tatizo kubwa sisi wanaume tufeli kwanza kwenye kuchagua mwanamke tunaangalia shape na uzuri pekee bila kuangalia vitu vingine matokea yake unapata matatizo Kama ya mabeste na stamina.
 
Back
Top Bottom