Alvajumaa, Wanawake wako tofauti sana ndg, yan wanaume unaweza mvumilia au kuishi na mwanamke wew una phd na yey la 7b na maisha yakawa muswano, au wew una kipato kikubwa sana na yey ndio tia maji tia maji,maisha furaha mustarehe,,lakini ni ngumu sana iwe vise versa,,masimango yatakuua tu au utatoka nduki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app