Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Radio gani Mabeste alienda kuzungumzia huu upumbavu?
.
For so long Mabeste hayuko mainstream radio gani itampokea aje kuzungumza ujinga?
Wakati wa matatizo Mabeste was fire
 
Mbona kipindi anaumwa mabeste alihangaika sana


Sent using Jamii Forums mobile app
Eatv walionesha live kupitia planet bongo. Mpaka home..
Huyu Dada alikuwa kalala tu hata kuongea hawezi dulla anampa pole hata kuitika kwa kichwa alishindwa achilia mbali kuongea..!

Sasa hivi eti anasema yeye ndo alipanga event, matamasha ya kuchangisha pesa mpaka akapona..! Duh
 
Kama mtu mwenye akili timamu kabisa unayejua muziki wa Rapp na unapenda Rapp Mabeste apambane atoboe nini?
.
Alishakuwa on top alishafanya kolabo na wasanii wakubwa, alishakuwa kwenye label kubwa, kafanya kazi na producers wakubwa nini kingine
 

Nami nashangaa ingekuwa mwanaume mwingine angemuacha aisee tena wanaume wa dar


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio ushangae hadi FNL walikwenda pamoja kutoa shukrani.
Mgonjwa mahututi eti apange mipango zote hizo yani unafumua ngumi hadi waliorekodi huu ujinga.
 
Wanawake ni wepesi sana kusahau..Yaani hata hawa wake zetu huku nyumbani,unakuta unahudumia kila kitu kila siku lakini itokee siku hujafanya atasahau huduma za miaka yote iliyopita..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio ushangae hadi FNL walikwenda pamoja kutoa shukrani.
Mgonjwa mahututi eti apange mipango zote hizo yani unafumua ngumi hadi waliorekodi huu ujinga.
nadhani tumsikilize pia na mabeste anasemaje kuhusu tuhuma hizi..

Tusikilize pande zote mbili.
Sema wanawake wa sasa mkiachana ataanza ooh nimemlea..sijui nini
 
Tafiti huwa zina base kwenye majority.... That's why tunaposema raisi wa wa-tanzania ni JPM haimaanishi kwamba hakuna ambao hawa kumchagua..ila utafiti huwa unawa favour wale ambao ni wengi walio mchagua........ So kwa hii dunia ya sasa Gals wengi sio wavumilivu katika mahusiano ambayo mume au BF hana kitu .... Kuna wanawake wachache sana ambao ni waaminifu ...

So uchache wao ndio ambao unao changia mpaka utafiti unaofanyika kuonyesha kuto watambua hao wachache
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…