Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #81
Ilikuwa ya maganzo shinyanga. Bila shaka ishaolewa na watoto inao saivi.Pisi maskani wapi.
Haikukwambia maskani kwao hata ukaisakue ukamilishe mission yko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa ya maganzo shinyanga. Bila shaka ishaolewa na watoto inao saivi.Pisi maskani wapi.
Haikukwambia maskani kwao hata ukaisakue ukamilishe mission yko
Wee ungefanyaje Sasa tiyari ushafumaniwa?Una roho ngumu sana
Wenzako vya porini hatupigagi romance
Unachetua kwanza ili hata ukifurushwa magoti yanakua mepesi tayari
😆😆
Wewe NI mjinga Sana😂
Procedure ziko wazi porini hakuna kuremba mkuu.
Sahihi kabisa nilienda kiboya sanaSiku zote kwèñye mishe hatari Mwanamke asiwe mchora ramani na mipango. NI rahisi kukamatwa.
Mwanamke sehemu anayoona NI salama kûna Asilimia kûbwa siô salama.
Bahati yako sikuwepo, Mimi ni masterGuide pia. Ningekuungia Mkia huku nikikupa Mbata za mgongo😃
“Usimnyime mtoto wako mapigo; maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa. Utampiga kwa fimbo, Na kumwokoa nafsi yake na kuzimu”- Mithali 23:13Walituonea tu kwani kwenye biblia wapi imeandikwa tupigwe viboko? Wangetuambia tukatubu tu basi huo ndo ukristo
Ni maneno ya kusikia au kuna uthibitisho? Maana huwa jamaa kama wenyewe hawanaga dhambi.Kwenye kambi za wasabato kuna kashfa kubwa ya watu kutafunana.
“Usimnyime mtoto wako mapigo; maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa. Utampiga kwa fimbo, Na kumwokoa nafsi yake na kuzimu”- Mithali 23:13
Hayo Huwa yapo hasa akina sisi tunao enda Kwa lengo tofauti na Makambi matokeo yake ndo hayo bila mbio zangu ilikuwa aibu kubwa mno.Ni maneno ya kusikia au kuna uthibitisho? Maana huwa jamaa kama wenyewe hawanaga dhambi.
Master Guide: MG kama MG.Ila Kuna ulinzi sana Kuna watu wanaitwa master guide kama sijakosea weee walinipiga sitasahau
Sasa umeacha kusali SDA siku hizi?Eeee niliona rc mwenzangu maana Kwa kipigo kile hapana kabisa sikujaribu tena
Mkuu yote heri tu. Imagine kama nisingekamatwa kwani ungesikia hiki kisa?😂😂😂😂😂daah watu wanakusanyika kwenda kumlilia Mungu wewe unataka utelezi.
Pr Mlozi kwa sasa ni president wa South Nyanza Conference makao makuu Mwanza.
Sema na wewe noma mpaka vichakani ase
Walinionea aseeMaster Guide: MG kama MG.