Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #101
Tangu mwaka huo sikuwahi enda Tena maana nilioa na kufunga ndoa Rc nilipokuwa na Sali tangu awali ila masomo Yao Bado naishi nayo Hadi LeoSasa umeacha kusali SDA siku hizi?
Mikutano yoyte Ile ya kisabato Huwa nachachingia na mwanza nilienda ule wa UFUNUO WA MATUMAINI. Alikuwa anahubiri mzungu fln anaitwa mark Finley.
Mahubiri kama nyayo za matumaini na yatosha jangwani ya Hivi karibuni nimehudhiria pia Kwa njia ya runinga
Hata Yale yalikuwa mbeya kama sikosei yalikuwa yanaitwa ushindi hatimae nilihudhuria nk.
Hata ibada ya nyumbani tunaiendeaha kisabato fln mixer na Rc. Ins short yote mema kiongozi.