Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #61
Eeee niliona rc mwenzangu maana Kwa kipigo kile hapana kabisa sikujaribu tenaUna hatari mkuu!Umeoa Sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeee niliona rc mwenzangu maana Kwa kipigo kile hapana kabisa sikujaribu tenaUna hatari mkuu!Umeoa Sasa?
😊😊😊!
Wasabato nawakubali sana wako na maadili Fulani hivi
Nawezaje kupata hao kuku
Kuna uwezekano mkubwaIla kweli kwa wasabato waweza bahatisha bikra
Ntalifanyia kaziKuna uwezekano mkubwa
Ntalifanyia kazi
Heri Yako wewe ulipata mbususu mkuu. Mimi.sikupata na viboko nilipigwa!Pole sana,kuna binti mmoja sijui hata tulianzana vipi,ila alikua mlokole.
Muimba kwaya
Mi muhuni tu,
katika kupiga SOUnd binti kasema ili nikupe mzigo twende wote church tukaimbe.
E bana nilipiga kisichana(nyagi)
Mapema tu.
Mle ndani church ilikua pale kwa chidumule siku hizi selebonge anauza vihepe.
Hombus inn mbele.
Niliimba siku hiyo unaambiwa vibe lote.
Binti alinipa mzigo kilaini
sana badae ikawa mchekea tu.
Ila sikufanikiwa kupigwa
Tangu kambi Hilo sikuuweza Tena kwenda Kwa wasabato niliona mroma mwenzangu Hadi Leo tupo sawa kabisaaKwa sasa hali ikoje, umepata msabato? Umeona au Bado? Maana hicho kipindi kinakuaga cha mpito, kikiisha utambuzi hurejea.
Ukitaka bikra nenda pemba, Ila za MBELE tuKuna uwezekano mkubwa
Ukitaka bikra nenda pemba, Ila za MBELE tu
Nilikua naamini kuwa wasabato hawanyanduani Hadi ndoa, duh 🙄Yule binti tuliendelea kuwasiliana Hadi laini yake ikafungiwa na nida sijawahi kumapta Tena.
🤣🤣🤣🤣
Nyie ndio huwa mnatuaribia malam I tunaonekana wa saba to ni wazinzi.
Rudi upya uoe Ingawa inabidi uwe makini wasabato wa kike wenye mission kama yako pia ni wengi.
Penye wengi Kuna mengi pia aseeNilikua naamini kuwa wasabato hawanyanduani Hadi ndoa, duh 🙄
Wale jamaa sijui tu walitokea wapi maana wasingenikutapo asee ningechomoka speed wao wenyewe wasingeliamini!!Daaah mkuu ulikua na heka heka sana.
Sema walinzi walikaza sana fuvu ungemla hata kimoja
Pisi maskani wapi.Wale jamaa sijui tu walitokea wapi maana wasingenikutapo asee ningechomoka speed wao wenyewe wasingeliamini!!
Jamaa wale walikuwa na wivu binafsi tu Wala hakuna jingine