Jinsi nilivyochomoka na kuikimbia nyeto milele

Endelea kufanya unachokiona bora na sahihi kwako.
 
Kuzungushwa na demu ndo ktu spendagi,,, mm nkimtongoza akakataa,, nkijitahid sana ntraudia mara moja afta that nafuta namba zake naingia manzese uwanja wa fisi, kimboka au pale riverside. But nyeto is a NO GO ZONE to me!!!
Kukataa tamaa na kwenda kununua malaya Ilo nalo ni tatizo, mwanaume huatakiwi ukate tamaa mapema ivo. Ni sawa na useme utatafuta ela mara ya kwanza ukikosa, utajarubu mara ya pili ukikosa unaenda kuibaaa.

Unajiona mjanja upigi nyeto afu unajiona mjana unanunua malaya kisa umeshindwa kutongoza. We ni fala
 
Sawa!!
 
Wenye pesa ndo wanaongoza kukosa nguvu za kiume kwa sababu ya magonjwa kama kisukari, BP, kula junks foods nk
Nahisi hapa ndo mdau mmoja alipata na hoja ya kuwataja maModsπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kuzungushwa na demu ndo ktu spendagi,,, mm nkimtongoza akakataa,, nkijitahid sana ntraudia mara moja afta that nafuta namba zake naingia manzese uwanja wa fisi, kimboka au pale riverside. But nyeto is a NO GO ZONE to me!!!
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† du mkuu wewe ndo uko sirias na maisha, hakuna mda wa kupoteza, mambo ni mengi.
 
Ila wewe jamaa sio bure, kuna kitu nimehisi kwako, wewe ni victim wa Nyeto, ila kama shetani tu, anajua kashaloose, so unatafuta wa kuangamia nao.
NB:Sijasema wewe ni shetani.
 
Ila wewe jamaa sio bure, kuna kitu nimehisi kwako, wewe ni victim wa Nyeto, ila kama shetani tu, anajua kashaloose, so unatafuta wa kuangamia nao.
NB:Sijasema wewe ni shetani.
Iman yako unvoamini, kwan nishawai kukufuata nikakuambia upige nyeto, iweje leo ndo nionekane nakuhamasisha kupiga nyeto angali ulipiga nyeto zako kwa miaka 17 bila kunisikia mimi
 
Iman yako unvoamini, kwan nishawai kukufuata nikakuambia upige nyeto, iweje leo ndo nionekane nakuhamasisha kupiga nyeto angali ulipiga nyeto zako kwa miaka 17 bila kunisikia mimi
Haya kijana, yameisha.
 
Halafu sijui hii agenda ya nyeto kwanini inapigiwa promo sana kwamba haina madhara, huko Youtube ndo usiseme wazungu wameikazia sana kwamba haina madhara, nafkiri kuna mtu yuko behind this.
Wazungu sio watu wazuri, ushoga pia wanasema ni kitu cha kawaida .
 
Acha uongo we mzee wewe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kupiga nyenga ni ishara ya udhaifu,kwanini uogope kutongoza watoto ukawala wala kama g nako???
 
Halafu sijui hii agenda ya nyeto kwanini inapigiwa promo sana kwamba haina madhara, huko Youtube ndo usiseme wazungu wameikazia sana kwamba haina madhara, nafkiri kuna mtu yuko behind this.
Ni saranist hao..wanataka wawapeleke watu kuzimu kisa nyeto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…