Najiona Mimi
Member
- Aug 15, 2020
- 74
- 87
Kuhusu saikolojia kuna vitu vingi tu vinasababishwa madhara ya kisaikolojia, watu waanachwa na wapenzi wao wanapata madhara ya saikolojia wengine had wanajiua, mahusiano yanapelekea watu wanaua, wanajinyonga, ayo madhara ya kisaikolojia yanayotakana na nyeto ni yapi. Ulishasikia mtu amejiua kisa nyeto? Lakn ni visa vingapi tunasikia watu wanauliwa kisa wivu wa mapenzi.
Na unaposema saikolojia useme ni saikolojia gani apo, maana saikolojia inakuwa affected na vitu vingi tu.
Endelea kufanya unachokiona bora na sahihi kwako.