Jinsi nilivyochomoka na kuikimbia nyeto milele

Me mdada nyokooo we 😂😂
Nipe namba zake

Huyo hajanielewa nimemwambia aniconnect naye akanipe darasa, ili nimlipue babe wangu na mimi.😂😂😂
Yeye kakazana kuntisha anajua dume nitamuibia manzi wake
Kama uko sirias au sio sirias saivi ni miaka mkuu, na yale maeneo mi hata siishi tena, sijui hata kama yupo au hayupo.
 
Nyeto ni tatizo la kisaikolojia, wewe unachotibu hapa ni erectile dysfunction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…