Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Ontario nashauri ujiweke wazi uwe kama Strive Masiyiwa Bilionea yupo kule fb anatusaidia sana kwa maandishi kama haya yako
Mwaka jana Sept 6 kwenye African Green Revolution Forum AGRF 2016, kwa mara ya kwanza nilikutana na Dr. Strive Masiyiwa. He's such an amazing role model.

Bado sijafika hatua ya kuwa verified hasa JF
 
Mwanzo nilivyoanza kusoma niliudharau lakini kila nilivyokuwa naendelea nilitamani niendelee zaid big up natamani nikujue
 
Nilivyoanza kusoma ilinibidi niruke maneno ili kuikuta iyo fursa....naaaaaam fursa nimeiona.....sitaki kukujua wewe ni nani wala ukweli wa maneno yako bali nimejifunza sana kwa uliyotushirikisha.....Ukweli lazima niseme...nimejifunza na ulipwe juu ya hili mkuu ameen.
 
motivated nimejifuza kitu mkuu kama kijana,
be blessed kijana..
 
Mwaka jana Sept 6 kwenye African Green Revolution Forum AGRF 2016, kwa mara ya kwanza nilikutana na Dr. Strive Masiyiwa. He's such an amazing role model.

Bado sijafika hatua ya kuwa verified hasa JF
Sure nakutakia neema ukue zaidi upate uzoefu wa kumake ili utuonyeshe njia zaidi, kila la heri mkuu
 
Ni kweli mkuu ONTARIO huku vijijini kuna fursa kibao tu, mtu ukiamua kuzichangamkia hakika unafanikiwa. Nawashangaa watu wanang'ang'ania kukaa mjini wakati huku vijijini kuna fursa kibao tu. Unakuta msomi wa chuo kikuu anazurura mjini na bahasha mwaka mzima eti anatafuta kazi.
Fursa zipo kinachotakiwa ni uthubutu. Yaani ile redness. Yupo jamaa mmoja yeye ana degree yake yaMzumbe lakini kajiajiri na anatengeneza pesa ndefu ajabu. Yeye ana deal na mifugo,na mazao.

nikupongeze kwa makala nzuri inayoamsha kufumbua watu.
 
Hakika man we jembe Tena zaidi ya jembe duu Maisha ni mapambano kinoma
 
Mwanzo nilivyoanza kusoma niliudharau lakini kila nilivyokuwa naendelea nilitamani niendelee zaid big up natamani nikujue
 
Ni kweli mkuu ONTARIO huku vijijini kuna fursa kibao tu, mtu ukiamua kuzichangamkia hakika unafanikiwa. Nawashangaa watu wanang'ang'ania kukaa mjini wakati huku vijijini kuna fursa kibao tu. Unakuta msomi wa chuo kikuu anazurura mjini na bahasha mwaka mzima eti anatafuta kazi.
Fursa zipo kinachotakiwa ni uthubutu. Yaani ile redness. Yupo jamaa mmoja yeye ana degree yake yaMzumbe lakini kajiajiri na anatengeneza pesa ndefu ajabu. Yeye ana deal na mifugo,na mazao.

nikupongeze kwa makala nzuri inayoamsha kufumbua watu.
Mkuu mimi nimepata bahati ya kuzurura hapa Africa na kukutana na watu. Yani naumia sana ninapoenda nchi kama SA nakutana na vitoto vidogo kama kina Sandile Shezi, Jabulani Ngcobo, Thembokhule Shongwe, kina karidas wanagonga Million dollars hata hawajafika miaka 23. Hapo kenya, Nairobi nilikutana na dogo anaitwa Mubarak Muyika, yani ni chalii tu lkn anagonga pesa si mchezo.

Sisi huku kwetu story za vijiweni ni kulinganisha misambwanda ya kina Agnes. Na mtu mwenye mafanikio ni yule mwenye mademu wengi wakali. Pathetic!!
 
Back
Top Bottom