Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka jana Sept 6 kwenye African Green Revolution Forum AGRF 2016, kwa mara ya kwanza nilikutana na Dr. Strive Masiyiwa. He's such an amazing role model.Ontario nashauri ujiweke wazi uwe kama Strive Masiyiwa Bilionea yupo kule fb anatusaidia sana kwa maandishi kama haya yako
Sure nakutakia neema ukue zaidi upate uzoefu wa kumake ili utuonyeshe njia zaidi, kila la heri mkuuMwaka jana Sept 6 kwenye African Green Revolution Forum AGRF 2016, kwa mara ya kwanza nilikutana na Dr. Strive Masiyiwa. He's such an amazing role model.
Bado sijafika hatua ya kuwa verified hasa JF
Mkuu mimi nimepata bahati ya kuzurura hapa Africa na kukutana na watu. Yani naumia sana ninapoenda nchi kama SA nakutana na vitoto vidogo kama kina Sandile Shezi, Jabulani Ngcobo, Thembokhule Shongwe, kina karidas wanagonga Million dollars hata hawajafika miaka 23. Hapo kenya, Nairobi nilikutana na dogo anaitwa Mubarak Muyika, yani ni chalii tu lkn anagonga pesa si mchezo.Ni kweli mkuu ONTARIO huku vijijini kuna fursa kibao tu, mtu ukiamua kuzichangamkia hakika unafanikiwa. Nawashangaa watu wanang'ang'ania kukaa mjini wakati huku vijijini kuna fursa kibao tu. Unakuta msomi wa chuo kikuu anazurura mjini na bahasha mwaka mzima eti anatafuta kazi.
Fursa zipo kinachotakiwa ni uthubutu. Yaani ile redness. Yupo jamaa mmoja yeye ana degree yake yaMzumbe lakini kajiajiri na anatengeneza pesa ndefu ajabu. Yeye ana deal na mifugo,na mazao.
nikupongeze kwa makala nzuri inayoamsha kufumbua watu.