Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Una sifa za kitoto sana bro. Lkn nashukuru umenishtua niitoe hiyo pic.
Sifa za kitoto?? Mkuu kwenye dunia ya leo unajificha?? Hutaki kuexpose identity yako, sasa watu watakuonaje na utawahamasishaje ikiwa unajificha??? Vipi kama Millard ayo, Mo, Mark Zuckerberg na vijana wengine wajasiriamali maarufu wangejificha?? Tungewajua leo?? Jibu ni hapana!! Sasa we hutaki watu wakuone hapa JF ili iweje labda au una sababu zako maalumu?!
 
Safi sana kiongozi - hongera kwa uthubutu. Ni vizuri tukaonyeshana dira, muda wa kuwa 'financial independent' ndio huu. Vijana wanashinda kumtukana Bashite as if uwepo wa bashite unawaondolea ugali mezani. Period!!!

Dah, laiti vijana wote humu JF wangekuwa na akili kama yako, hakya nani vile sidhani kama post za udaku zingepata wasomaji.
Hakika wewe unatumia angalau 5% ya ubongo wako kufikiri.
Nasubiri utakaporudi tena na hiyo project mpya, labda nami ntaambulia wazo hapo.. Big up sana mzee
 
Mkuu Ontario dah umeni motivate aisee Mimi mwenyewe MTU wa mafuta na gesi big up dah hlf nilikua nikikusoma JF intelligence najua jamaa flan hv kaenda age kumbe yanki ka sie Big up brother Ontario
 
Mkuu Ontario dah umeni motivate aisee Mimi mwenyewe MTU wa mafuta na gesi big up dah hlf nilikua nikikusoma JF intelligence najua jamaa flan hv kaenda age kumbe yanki ka sie Big up brother Ontario
Unasoma/umesoma Petroleum Chemistry/Engineering/Geology?!
 
Wewe ni muongo hicho kipaji chako cha kutunga history za uongo kipeleke grobal publisher watakusaidia

Dah, ila hii dunia kweli ina kila aina ya watu. Sasa wewe hapo umeona uongo tu, hakuna kingine chochote kizuri ulichojifunza???
Basi hebu tupe ya kwako ya ukweli angalau nasi tujifunze au tuhamasike toka kwako ndugu..
Pathetic!!
 
Ni furaha sana pale unapoona kijana mwenzako anatumia fursa vizuri. Hongera sana Ontario.
44dace233d71c2846901fe6d001d4fb8.jpg
 
moja ya project nilizokuwa nimezificha nyuma ya akili yangu, Very soon, nachofanya ni kukusanya enough knowledge kwenye masuala Agro businessna kumilik Ardhi na kuiamuru iniletee hela............
Im still young maskin hata 25yrs sijafika afu sijafanya maamuzi magum Tanzani tumebarikiwa Ardhi yani nikiangalia east africa vi nchi vingine vinaingia almost mara Tano au sita kwa tz afu ndio wana Export more kuliko tz
weather it HD movie fixation or VHS im ''IN'' just be coz baba yangu ni mkulima wa miaka mingi sana lakin hajaona mafanikio ya kilimo chake ..
kwenye SOCCER tunaita 'LONG BALLS'' if and only if you have the ''WILL POWER''

''I AM THE CREATOR OF MY OWN FUTURE''
 
Afterthought 3:

Mtu atauliza - Hivi Ontario ulianzaje?
Nilianza mdogo mdogo, nilikuwa na pesa kidunchu sana, lkn nilikuwa motivated na kufanikiwa.

Mimi hua napinga sana mtu anayesema 'passion' ndio inamsukuma mtu afanikiwe - mimi naamini mafanikio ndio yanamsukuma mtu awe na passion na hiko kitu. Kama una passion na mziki afu kila ukiimba hautusui, hapo passion inasagika, yote inapotea. Mimi lengo langu ni kufanikiwa, mambo ya passion yatakuja nikizeekaga huko.

So basically mimi ni mjasiriamali wa kilimo - kilimo ndio base yangu japo kuna kitu kingine nafanya kinachoniingizia mkwanja mrefu mara dufu ya mkwanja wa kilimo.

Kabla Hatujafika July nitakufundisha jinsi ya kutengeneza faida ya 1.1 mil kwa siku 1, kwa mtaji wa kawaida sana. (Hili sitalizungumza hapa - so tuwe wapole). Nitaligusia kidogo siku za usoni kwenye uzi wa Jamii intelligence.
a50642620b18124436fcf582f3deb70f.jpg


4f9dc1616660a882eac2207b7e2775fe.jpg


6327d3530db768e9ce840fb55e86bc05.jpg

We can't wait
 
Kaka hongera sana, you made my evening.. Nimejikuta nasoma uzi na kuurudia, haya ndiyo madini hasa ya kufukuzia. Nitakuwa nakufuatilia ,kujifunza na kuchukua hatua
 
Back
Top Bottom