Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa za kitoto?? Mkuu kwenye dunia ya leo unajificha?? Hutaki kuexpose identity yako, sasa watu watakuonaje na utawahamasishaje ikiwa unajificha??? Vipi kama Millard ayo, Mo, Mark Zuckerberg na vijana wengine wajasiriamali maarufu wangejificha?? Tungewajua leo?? Jibu ni hapana!! Sasa we hutaki watu wakuone hapa JF ili iweje labda au una sababu zako maalumu?!Una sifa za kitoto sana bro. Lkn nashukuru umenishtua niitoe hiyo pic.
Safi sana kiongozi - hongera kwa uthubutu. Ni vizuri tukaonyeshana dira, muda wa kuwa 'financial independent' ndio huu. Vijana wanashinda kumtukana Bashite as if uwepo wa bashite unawaondolea ugali mezani. Period!!!
Unasoma/umesoma Petroleum Chemistry/Engineering/Geology?!Mkuu Ontario dah umeni motivate aisee Mimi mwenyewe MTU wa mafuta na gesi big up dah hlf nilikua nikikusoma JF intelligence najua jamaa flan hv kaenda age kumbe yanki ka sie Big up brother Ontario
Wewe ni muongo hicho kipaji chako cha kutunga history za uongo kipeleke grobal publisher watakusaidia
Umeboa sana!!Best of luck bro
Mkuu umetumia lugha gani hii?Dah! You have make too much Exaggerate your story.
But Realistick its very low...
haya mambo ndio mhimu kwa kila kijana kuliko kubakia na story za wasukuma bashite, magu na gwajima maana haziwezi kutusaidia. watu tupige kazi. nimeipenda sana mkuu.
Afterthought 3:
Mtu atauliza - Hivi Ontario ulianzaje?
Nilianza mdogo mdogo, nilikuwa na pesa kidunchu sana, lkn nilikuwa motivated na kufanikiwa.
Mimi hua napinga sana mtu anayesema 'passion' ndio inamsukuma mtu afanikiwe - mimi naamini mafanikio ndio yanamsukuma mtu awe na passion na hiko kitu. Kama una passion na mziki afu kila ukiimba hautusui, hapo passion inasagika, yote inapotea. Mimi lengo langu ni kufanikiwa, mambo ya passion yatakuja nikizeekaga huko.
So basically mimi ni mjasiriamali wa kilimo - kilimo ndio base yangu japo kuna kitu kingine nafanya kinachoniingizia mkwanja mrefu mara dufu ya mkwanja wa kilimo.
Kabla Hatujafika July nitakufundisha jinsi ya kutengeneza faida ya 1.1 mil kwa siku 1, kwa mtaji wa kawaida sana. (Hili sitalizungumza hapa - so tuwe wapole). Nitaligusia kidogo siku za usoni kwenye uzi wa Jamii intelligence.![]()
![]()
![]()
Nashukuru sana flop wa mwendokasi 'Martial'. Tuko pamoja sana mkubwa.