Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Oho wewe ndo haujui kila mahali zinakwenda sema wao wenyewe akili zao hazifikiri kwenda marekaniWanafaidije Mkuu , hizo private jet zao hazifiki America
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oho wewe ndo haujui kila mahali zinakwenda sema wao wenyewe akili zao hazifikiri kwenda marekaniWanafaidije Mkuu , hizo private jet zao hazifiki America
Mmmh urongo tuBenki hazina mazindiko kuna kitu hapa huelewi. Sehemu zote ambazo ni PUBLIC, hata kama ni kwenye Bar za walevi wa pombe, kuna ulinzi wa Mungu wa hali ya juu, unaosababishwa na roho za watu ambao huwa wanakuwepo mahali pale. Kumbuka kuwa Mungu anawapenda watu wote bila kujali ni waovu au ni wazuri, hata jambazi pia analipenda na hivyo kila mtu aliye hai huwa ana ulinzi wa Mungu. Ni kiwango tu cha ulinzi kinachotofautian kati ya mtu mmoja na mwingine
Kwa hiyo Benki huwa kuna ulinzi wa Mungu wa hali ya juu kutokana na roho za watu ambazo huwa zinakuwepo mahali pale na kutokana na zile ambazo zilishawahi kuwepo mahali pale; na si Benki tu bali sehemu zote ambazo ni PUBLIC huwa zina ulinzi wa Mungu na ESPECIALLY sehemu ambazo watu huwa wanakusanyika kwa ajili ya kufanya SHUGHULI HALALI, ikiwemo MAOFISINI NA MAKANISANI, ukiachilia mbali sehemu zingine ambazo nazo ni PUBLIC pia lakini zina mambo ambayo huwa yanendelea pale yayotia shaka kidogo
Kwa hiyo kila sehemu ambayo ni PUBLIC, ina ulinzi wa Mungu wa hali ya juu kabisa bila kujali ni nini huwa kinaendelea pale; provided huwa wankusanyika pale binadamu aliowaumba kwa mfano wake
Unakuta kuna sehemu zingine PUBLIC lakini za ajabu kabisa, lakini still Mungu anakuwa na ulinzi wake mahali pale kwa sababu anakuwa anajua kuwa KUNA SAULI AMBAYE HUWA ANAKUWEPO MAHALI PALE, AMABAYE KESHO ANAMHITAJI AWE PAULO KWA AJILI YA WATU WAKE
Ni mara Mia ungesema Pesa za Watu zina Mazindiko yao. Mtu anapopeleaka Pesa zake Benki keshazinenena Mambo yake Ili zizidi kuongezeka.Benki hazina mazindiko kuna kitu hapa huelewi. Sehemu zote ambazo ni PUBLIC, hata kama ni kwenye Bar za walevi wa pombe, kuna ulinzi wa Mungu wa hali ya juu, unaosababishwa na roho za watu ambao huwa wanakuwepo mahali pale. Kumbuka kuwa Mungu anawapenda watu wote bila kujali ni waovu au ni wazuri, hata jambazi pia analipenda na hivyo kila mtu aliye hai huwa ana ulinzi wa Mungu. Ni kiwango tu cha ulinzi kinachotofautian kati ya mtu mmoja na mwingine
Kwa hiyo Benki huwa kuna ulinzi wa Mungu wa hali ya juu kutokana na roho za watu ambazo huwa zinakuwepo mahali pale na kutokana na zile ambazo zilishawahi kuwepo mahali pale; na si Benki tu bali sehemu zote ambazo ni PUBLIC huwa zina ulinzi wa Mungu na ESPECIALLY sehemu ambazo watu huwa wanakusanyika kwa ajili ya kufanya SHUGHULI HALALI, ikiwemo MAOFISINI NA MAKANISANI, ukiachilia mbali sehemu zingine ambazo nazo ni PUBLIC pia lakini zina mambo ambayo huwa yanendelea pale yayotia shaka kidogo
Kwa hiyo kila sehemu ambayo ni PUBLIC, ina ulinzi wa Mungu wa hali ya juu kabisa bila kujali ni nini huwa kinaendelea pale; provided huwa wankusanyika pale binadamu aliowaumba kwa mfano wake
Unakuta kuna sehemu zingine PUBLIC lakini za ajabu kabisa, lakini still Mungu anakuwa na ulinzi wake mahali pale kwa sababu anakuwa anajua kuwa KUNA SAULI AMBAYE HUWA ANAKUWEPO MAHALI PALE, AMABAYE KESHO ANAMHITAJI AWE PAULO KWA AJILI YA WATU WAKE
Kinyume cha ulichoongea hapa ndiyo sahihi. Unajua kuna tatizo moja ambalo huwa tunalo sisi kama binadamu, mimi ninapokuwa nimepotoka na nikawa sijui kama nimepotoka, akitokea mtu wa kunishahihisha kama ulivyofanya wewe hapa, anayenisahihisha nitamuona amepotoka in-as-much the same way kama anavyoniona mimi kuwa nimepotoka. In that matter I absolutely don't conquer with your idea, but you must respect it!Ni mara Mia ungesema Pesa za Watu zina Mazindiko yao. Mtu anapopeleaka Pesa zake Benki keshazinenena Mambo yake Ili zizidi kuongezeka.
Ila Mungu unamsingizia Tu
Hayupo anayepinga uchawi hapa isipokuwa hoja iliyotolewa hapa inaonyesha kuwa uchawi upo ila Mungu ndiyo yuko juu zaidiNyie mnapinga tu nguvu za kichawi
Uzi wa mchawi mstaafu[emoji23][emoji23][emoji23]
Teh teh teh teh teh 😂😂😂 nyie raia mnanivunja mbavu haa haaa...😆😆Wee sema hivohivo mstaafu, ujichanganye akumangile bila mchuzi. jungu kuu halikosi ukokoo
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Hayo yoote wewe niachie mimi.....sababu hata mie nilikiwa mchawi hasa tena wa kidunia....niliwahi fanya mikutano na shetani live!! namjua vilivyo....tena shetani ni mzuri kweli bonge la handsome....na tena akija leo na maajabu yake wengi mtamwamini.....amini nakwambia ukiniona ni wa kawaida sana lkn sisi enzi za uchawi tulijuana sana...hata ukiwa mgeni popote tulikushawishi ujiunge na kundi letu na tulifanikiwa sans mpaka leo wako ivo.....unapajua lungwim Occult??!...kuna thread zangu humu nimetoa ushuhudaUnafahamu kafara langu? Utalilipa na nini?
Mrembo yaani ni miaka bwena yako kwenye maandishi....na ni bora kadiri miaka inavo songa...ila kwa sasa wanawake wanahitajika sana.....km uko Ok!! sema tu tuyasongesheHebu mambo yenu yawekeni kwenye maandishi ili tuone namna ya kuwasaidia kuboresha technology yenu
unafiki ndo siraha kubwa ya wachawi ili wasweMchawi ndie kiumbe mwenye kiwango cha chini sana cha kufikiri duniani thus ufanya mambo yasiyo na faida hata kwake
Damu ya Yesu italilipa, ni kafara lililo bora kuliko damu za watu ulizotoa, Yesu anakuita,fungua moyo wako mfuate.Unafahamu kafara langu? Utalilipa na nini?
Jina lako n kama unarusha wavu utatunasa wengiYesuuuuu.
Mnawakamatia wapi?
Kuna mama mmoja inaaminika ni mchawi sana mtaani nikiwa mdogo niligonga kuku yake na baiskel nikamuuaUchawi unakufanya uishi kwa kujiamini,lkn pia unakufanya kila unachokifanya unajua matokeo yake,hivyo huishi kwa kubahatisha!!, lakini pia katu hutaonewa na mtu au kufanyiwa fitina na mtu. Ila unatakiwa kuwa na kiasi ktk kila Jambo! sometime uwe na moyo wa kusamehe na kuachilia.
Hofu ni adui mkubwaKuna mama mmoja inaaminika ni mchawi sana mtaani nikiwa mdogo niligonga kuku yake na baiskel nikamuua
Maza alininyooshe kidole mbele za watu akaniambia "wewe[emoji117] utaona"
Nikaenda kueleza home mazaangu akanichukua had kwa yule mama kumuomba msamaha na kumuomba amlipe kuku wake yule mama akakataa akasema hata tumpe 300k hyo hela haina thamani ya yule kuku
Mzee wangu alivyokuja kuskia akasema achaneni nae na sisi tunataka tuone alichokwambia utaona Hadi leo hii sijakiona hicho alicho niambia ntaona inawezekana alinisamehe
Japo Hof ilinifanya mara kwa mara nihisi nakabwa ndotoni had nakosa nguvu ila hali hyo ilipotea