Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Sidhani kama ulikuwa ni pisi kali kama wale jamaa rafiki zake na hendsamu walivyokuwa wanakujaza... Unaonekana wa kawaida tu ndio maana attempt zako zote ziligoma. Ungekuwa mzuri wala isingekuwa rahisi wanaume wote kuchomoa
🤣🤣🤣🤣 km kawaida yenu kamati ya roho mbaya
 
Ingekuwa ni Jeshini tungesema you missed the target 🤪

Kutongoza kupitia rafiki huwa ni risk iwapo huyo rafiki naye ana interest.

Miaka ya zamani niliwahi mtumia Dada mmoja anitongozee mrembo mmoja, bahati mbaya jumbe alikuwa hafikishi kwa mlengwa hadi siku akaamua kufunguka kuwa she liked me instead 😅

Anyways, malizia story Mkuu
 
Niliwahi kusema uwoga wako utakuponza sana....🤓🤓🤓🤓🤓
 
Back
Top Bottom