Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Throwback

Zamani hizo nishawahi kutongoza wakaka wawili

Wa kwanza
Huyo kaka nilikuwa nampenda mpk namuogopa yaani naona aibu nilikuwa natetemeka hata akinisemesha nikikutana nae na mkwepa

Nikamtuma best angu akamwambie mimi nimekufa kwake nimeoza [emoji23][emoji23] Yule mbwa alienda kumtongoza yeye akawa ana date nae sasa nikawa najiuliza yule kaka ina maana kanikataa ama… baadae nikaja kugundua ilikuwa ni nyege maana ndio nilianza kukuakuaa kipindi hicho

Yule jamaa tulivyokuwa wakubwa ndio alikuja kuniambia kwamba ujumbe haikufikishwaa badala yake niliemtuma aliniibia

Wa Pili

Kaka mmoja wa kisabato yule kaka ni handsome halafu ni wale tall na dark halafu ndevu zipo nikiwa niko first year yeye yupo mwaka wa 4 kwa mara ya kwanza tulikutana cafeteria weeee nilimpenda palepale alikuwa na best ake uzuri ukaja best ake alikuwa anafahamiana na best yangu akaja kumsalimia

Kijana nilievutiwa nae tumwite P yeye alibaki kwa mbali hakutusogelea pale tulipo basi wakasalimiana na rafiki angu wakaondokaa..

Nipo hostel na best yangu nikamuuliza habari za wale vijana ila P hakuwa akimjua alisema tu huwa anamuonaona tu pamoja na huyo best ake..

Siku hiyo tumekaa nikamkumbuka P ikabidi nimtege shoga angu vipi leo twende tukatembetembee hostel za kina P uzuri na yeye alikuwa na mishe za kwenda huko akasema jioni tutaenda… Kweli bhn jioni yake tukaendaa mpk hostel za kina P

Tulipoingia room tukawakuta vijana wengine tu wanapiga story wakatukaribisha tukakaa pale rafiki angu alikuwa msemaji mimi kwa kuwa sikuwa nawajua nilikua kimya tu najisemea moyoni mbona P hatokei

Tulikaa kama dk 10 nikamuuliza best angu mbona yule kijana simuonii?? Yeye akaniuliza kijana gani nikamwambia yule wa siku ile cafeteria si akaCheka kwa nguvu wale vijana wakasikia[emoji3][emoji3]

Ikabidi wamuulize vipi akawaambia namuulizia P weee jamani mashemeji ni wanoko kama unavojua wanaume kwa unafki wakachukua simu wakampigia

Oyaa kaka njoo huku kuna Pisi kali anakuuliziaa [emoji1787]Nyie jmn niliona aibu
Aisee P hakuchukua hata dk 5 akaingia room[emoji15] kumbe chumba chake kilikuwa floor ya juu tu

Basi bhn alivoingia nikaanza kujifichaficha si unajua tena aibu za kike[emoji6][emoji6] Wenzie wakaanza Mamamzungu uliekuwa unamuulizia kaja wee nilitamani kukimbia

Yule kaka alinisogelea mpk nilipokaa akanisalimia vizuri akaiuliza jina langu tukabadilishana namba akawa ananipigisha story mimi sasa ndio mpolee

Baada ya kurudi hostel zetu .. nikachukua simu yangu maana niliicha hostel (Mimi huwa sitembei na simu kubwa mara chache sana unikute barabarani nimeshika smartphone)… Nikaingia WhatsApp nikakuta P kanicheki

Tukachart chart basi lile likaka lilacs hata halinitongozi [emoji38][emoji38][emoji38]
Ikabidi mimi ndio nianze kazi ya kumtongoza na nyimbo za maua Sama ile ya mwenzako nakuelewa [emoji16][emoji16]

Ni hivi tulikuwa na urafiki but hakuwa kunitongozaa mpk anamaliza chuo.. kilichokuja kunikera kwake ni yeye kumwambia rafiki angu kuwa nimemtongoza aisee nilijisikia vibaya sana… nikamtoa moyoni na nikamwambia kwamba sikupenda kama alikuwa hanitaki asingemueleza best angu

Tangu siku hiyo mazoea yakaisha nikafuta namba yake alikuwa akinitafuta sijibu… imepita miaka mingi sasa tunawasiliana vizuri halafu sasa ndio ananitongoza nimemwambia tu hapana kwasasa sina hisia nae kabisaa

NB: Yule Kijana alikuwaga na demu wake niliambiwaga na best ake ndio maana aka ananikwepaa [emoji38][emoji38][emoji38]
Pole sana

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Udaku story nisubili party 2
 
Ingekuwa ni Jeshini tungesema you missed the target [emoji2957]

Kutongoza kupitia rafiki huwa ni risk iwapo huyo rafiki naye ana interest.

Miaka ya zamani niliwahi mtumia Dada mmoja anitongozee mrembo mmoja, bahati mbaya jumbe alikuwa hafikishi kwa mlengwa hadi siku akaamua kufunguka kuwa she liked me instead [emoji28]

Anyways, malizia story Mkuu

[emoji23][emoji23][emoji23] niliumia sana halafu mpk Leo ni rafiki angu kuna kipindi nini limuomba ushaurii kuhusu kijana mmoja alikuwa ananisumbua nishawahi kuweka mada hapa ni mchaga

Sasa rafiki angu nae ni mchaga alivyo hana akili ananiambia et kama vipi nimpe yeye huyo mchaga maana wachaga wanaweza a wenyewe kwa wenyewe akawa analazimisha nimpe namba [emoji1787][emoji23][emoji23]

Nilivyoona hivyo nikakumbuka aliwahi niibia zamani ikabidi nimwambie niliokuambia yote ni uongo ndio akaacha hizo swaga za kuomba namba ya bebi wangu
 
Umenikumbusha Olevel kuna demu 1 alijichanganya kwangu, nkamuonesha picha za maex wangu wote then nkamuuliza kuna hata mmoja hapo umemzidi chochote? Kanichukia mpaka leo sijui hata yupo wapi hahahaha!
Kwahiyo uliona ndiyo njia yakumkatalia?

Back
Top Bottom