Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Sijui uzuri wa mtu upo wapi

Ila nimesikia uzuri wa mtu upo machoni pa mtu mwenyewe

Kingine huyu kijana wa pili ni kati ya wale vijana waaminifu ukizingatia ni msabato nahisi aliona dhambi

Huyo wa kwqnza tulikuwq wqtoto halafu kipindi hicho nilikuwaga kabaya kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Anyway mimi kweli ni kabaya sio tu ka kawaida
Usimsemee eti alikukataa sababu ni dhambi, haukumvutia kwa chochote wala usijifariji
 
Sidhani kama ulikuwa ni pisi kali kama wale jamaa rafiki zake na hendsamu walivyokuwa wanakujaza... Unaonekana wa kawaida tu ndio maana attempt zako zote ziligoma. Ungekuwa mzuri wala isingekuwa rahisi wanaume wote kuchomoa
Jamani 🙄😃😃😃😃
 
Umenikumbusha Olevel kuna demu 1 alijichanganya kwangu, nkamuonesha picha za maex wangu wote then nkamuuliza kuna hata mmoja hapo umemzidi chochote? Kanichukia mpaka leo sijui hata yupo wapi hahahaha!
🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
Karibu MiCasa Lounge kuna kreti lako la bia mkuu🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom