Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,528
- 3,641
Usimsemee eti alikukataa sababu ni dhambi, haukumvutia kwa chochote wala usijifarijiSijui uzuri wa mtu upo wapi
Ila nimesikia uzuri wa mtu upo machoni pa mtu mwenyewe
Kingine huyu kijana wa pili ni kati ya wale vijana waaminifu ukizingatia ni msabato nahisi aliona dhambi
Huyo wa kwqnza tulikuwq wqtoto halafu kipindi hicho nilikuwaga kabaya kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anyway mimi kweli ni kabaya sio tu ka kawaida