Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Mimi chuo nimekataa mademu watatu kisa sijavutiwa nao [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Halafu pisi kali zote wakanitolea nje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimetoka kapa [emoji23][emoji23][emoji23]

Malipo ni hapa hapa

Ajabu hizo pisi kali hamzioi mnatuoa sisi sura ya baba Grade 1
 
Awo vijana wazembe ningekuwa mimi nachapa alafu natimka
 
Umenikumbusha Enzi za secondary Kuna mkaka nilimuelewa vibaya sana...mdogo wake tulikuwa tunasoma naye huyo kaka alikuwa kidato cha mbele yetu
Basi mdogo wake wa kiume alikuwa best yangu...ikabidi nimwambie nampenda kaka yako akanambia andika barua nitampelekea....basi bidada nikajipinda nikaandika barua nikapachika sticker za makopa na dedication kibao za kina Celine dion [emoji6][emoji6] kaka akapelekewa bwana....akarudisha majibu kumbe na yeye alinielewa tukaanza kudate [emoji2960]
Mdogo mtu akaanza wivu siku ya siku akaiiba ile barua akaisambaza darasani jamani niliaibika mie [emoji24][emoji24][emoji24] kidogo nitoroke shuleee

Ila bahati nzuri kakamtu alinicover sana mdogomtu akaaibika[emoji41]

[emoji23][emoji23][emoji23] Bora wewe alifikisha ujumbe mimi niliomtumA na yeye alijituma akambeba moja kwa moja

Huyo wa pili ndio mpk dedication za Mauasama ila akanichomolea
 
Uyo kijana wa pili nafikir bado alikuwa limbukeni wa mapenzi haiwezekani mdada akutongoze alafu umwache usimpige miti kweli dah inauzunisha sana, ila siwezi mlaumu sana nakumbuka kipindi hicho kwenye 2005 nilikuwa kwenye kidato cha pili hivi kiufupi nilikuwa bado kitoto kuna demu mmoja alikuwa mkali sana yan dah[emoji24] yule manzi alikuwa ananipenda sana ilifika wakati mpka akawa anakaa uchi anamanua mipaja tumbua linaonekana sema lilifichwa na pichu lakini bado mbishi nilikuwa sijaelewa code zile basi dah sikulipiga miti lile lidada ila badae wenge likaja nikaa sawa roho iliniuma sana nilijuta kwa nn nilimwacha

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] msabato kashika amri 10
 
Sikumfanyia hvyo coz mimi sina dada. Nilimjibu nilichomjibu kwasababu ni mbaya! Siwezi kudate demu mbaya abadan.

Ukute demu wako ni kama tulia tu[emoji12]

Kwanza wanaume wengi hawajui kuchagua
 
Back
Top Bottom