Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

I'd ni mama mzungu ila kiuhalisia unaweza kuta mleta mada ni kijana aliyepigwa na maisha hadi kunguru wanamwogopa
 
Kwa maelezo haya maku yako itakuwa imeenda kilomita za kutosha sana mpaka leo.
 
Hahahaha.............Hongera kukua, hebu nitupie hiyo mistari sasa nione kama nitakubali [emoji2957]

Oooh baby mwenzako nakuelewa
Ukinipa basi usiulize
Na Kama sijui ni na nini

Yaani mimi nilikuwa natuma dedicated songs sio maneno[emoji23]
 
Oooh baby mwenzako nakuelewa
Ukinipa basi usiulize
Na Kama sijui ni na nini

Yaani mimi nilikuwa natuma dedicated songs sio maneno[emoji23]
Hahaha.........naona unajaribu jaribu 🤗

Endelea huenda nikakubali hiyo mistari 🙈
 
Umenikumbusha Enzi za secondary Kuna mkaka nilimuelewa vibaya sana...mdogo wake tulikuwa tunasoma naye huyo kaka alikuwa kidato cha mbele yetu
Basi mdogo wake wa kiume alikuwa best yangu...ikabidi nimwambie nampenda kaka yako akanambia andika barua nitampelekea....basi bidada nikajipinda nikaandika barua nikapachika sticker za makopa na dedication kibao za kina Celine dion [emoji6][emoji6] kaka akapelekewa bwana....akarudisha majibu kumbe na yeye alinielewa tukaanza kudate [emoji2960]
Mdogo mtu akaanza wivu siku ya siku akaiiba ile barua akaisambaza darasani jamani niliaibika mie [emoji24][emoji24][emoji24] kidogo nitoroke shuleee

Ila bahati nzuri kakamtu alinicover sana mdogomtu akaaibika[emoji41]

Dogo alikuwa anakutaka yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hv wimbo wa maua sama unaosema ulitoka lini? Mbona kama sio mda mrefu sana 😁

Ila dada we nae mpaka unaanza kujilipua ww maanake we ni WA KAWAIDA maana ktk hali ya kawaida kuna demu akikupa signal tu unapoteana unachanganyikiwa kbs lkn ww unampa signal mwanaume na bado anapangua 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom