Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Sasa mm nisingekubali maana nilikuwa napenda watu walionizidi umri hadi leo naishi humo [emoji1787]

Kwahiyo una kibabu shogaree?!! Hebu nipasie na mie kimoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ona sasa 😂😂😂, uje nikupe planB
Takuja takuja.....
Online class bana mi mda mwingine siielewi ujue 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌
 
Takuja takuja.....
Online class bana mi mda mwingine siielewi ujue 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌
tatizo una mambo mengi sana 😂😂,, usijali lakini tutabadilisha mfumo 😃
 
Back
Top Bottom