Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Sasa mm nisingekubali maana nilikuwa napenda watu walionizidi umri hadi leo naishi humo 🤣Dogo alikuwa anakutaka yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mm nisingekubali maana nilikuwa napenda watu walionizidi umri hadi leo naishi humo 🤣Dogo alikuwa anakutaka yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Practice ilinishinda an.....Vizuri kama ulielewa,,, vipi uliyafanyaia kazi au ndo ulinywea uji😃😃
I'd ni mama mzungu ila kiuhalisia unaweza kuta mleta mada ni kijana aliyepigwa na maisha hadi kunguru wanamwogopa
I'd ni mama mzungu ila kiuhalisia unaweza kuta mleta mada ni kijana aliyepigwa na maisha hadi kunguru wanamwogopa
hahahahahahahaha! nimecheka sana aisee. Saizi nipo singo kwanza.Ukute demu wako ni kama tulia tu[emoji12]
Kwanza wanaume wengi hawajui kuchagua
Ona sasa 😂😂😂, uje nikupe planBPractice ilinishinda an.....
Naogopa wale viumbe mno
Hahahhhahahah……Ila bongo raha sana…ukiwa na stress nI wewe tuu.Sawa je kuhusu mkataba au nimakubaliano ya Dp world ?
Sasa mm nisingekubali maana nilikuwa napenda watu walionizidi umri hadi leo naishi humo [emoji1787]
Takuja takuja.....Ona sasa 😂😂😂, uje nikupe planB
Huyu ndo jirani yangu mimi sasa😂😂😂Kwahiyo una kibabu shogaree?!! Hebu nipasie na mie kimoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tatizo una mambo mengi sana 😂😂,, usijali lakini tutabadilisha mfumo 😃Takuja takuja.....
Online class bana mi mda mwingine siielewi ujue 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌
Huyu ndo jirani yangu mimi sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo jirani,, nakuona kwenye ubora wako🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jirani upo??
Hicho ndo nasubiri...tatizo una mambo mengi sana 😂😂,, usijali lakini tutabadilisha mfumo 😃
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Malipo ni hapa hapa
Ajabu hizo pisi kali hamzioi mnatuoa sisi sura ya baba Grade 1
Ngoja niandae,,, utakuja uchukue 😄😄Hicho ndo nasubiri...
Tubadilishe mfumo sasa unipe timetable..
No maraaa waaaaa
hahahahahahahaha! nimecheka sana aisee. Saizi nipo singo kwanza.
Kwani hutaki kujifunza mitindo mipya.....namaanisha mitindo mipya ya maisha.Mke wa mtu mie nimecha hayo mambo bro[emoji1]