Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Sidhani kama ulikuwa ni pisi kali kama wale jamaa rafiki zake na hendsamu walivyokuwa wanakujaza... Unaonekana wa kawaida tu ndio maana attempt zako zote ziligoma. Ungekuwa mzuri wala isingekuwa rahisi wanaume wote kuchomoa
🀣🀣🀣🀣 km kawaida yenu kamati ya roho mbaya
 
Ingekuwa ni Jeshini tungesema you missed the target πŸ€ͺ

Kutongoza kupitia rafiki huwa ni risk iwapo huyo rafiki naye ana interest.

Miaka ya zamani niliwahi mtumia Dada mmoja anitongozee mrembo mmoja, bahati mbaya jumbe alikuwa hafikishi kwa mlengwa hadi siku akaamua kufunguka kuwa she liked me instead πŸ˜…

Anyways, malizia story Mkuu
 
Niliwahi kusema uwoga wako utakuponza sana....πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Hebu weka picha tuone kama hao vijana walikuwa sahihi kukuita pisikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…