Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Sidhani kama ulikuwa ni pisi kali kama wale jamaa rafiki zake na hendsamu walivyokuwa wanakujaza... Unaonekana wa kawaida tu ndio maana attempt zako zote ziligoma. Ungekuwa mzuri wala isingekuwa rahisi wanaume wote kuchomoa.
 
Umenikumbusha Olevel kuna demu 1 alijichanganya kwangu, nkamuonesha picha za maex wangu wote then nkamuuliza kuna hata mmoja hapo umemzidi chochote? Kanichukia mpaka leo sijui hata yupo wapi hahahaha!
 
Back
Top Bottom